miezi 3

Normunds Miezis (born 11 May 1971) is a Latvian chess Grandmaster (1997).

View More On Wikipedia.org
  1. K

    Ipi online platforms wanatoa mkopo wa riba nafuu kwa mwezi hadi miezi 3?

    Wadau,,ninataka million 1 cash chap ,,so ninaomba kujua ni platformgani naweza kukopa online hiyo pesa na nikalipa interest isiyozid aslimia 10 kwa mwezi to miezi 3? Asante
  2. S

    Jikomboe Kiuchumi Hatua #3 - Kuwa na Akiba ya Miezi 3 hadi 6 Kwa Ajili ya Dharura

    Habari wanaJF, Natuamini kuwa mnaendelea vizuri. Mungu amekuwa mwema sana sana kwangu. Nimepotea siku 2, 3 hizi (nlikuwa nahudumia jamii na kumalizia msiba wa ndugu mmoja hivi). Sasa nimerudi kuendelea na makala yetu ya kujikomboa kiuchumi. Nimejificha kwenye maktaba fulani hapa. Feni zinafanya...
  3. J

    Nataka kuwekeza milioni 40 kwa miezi 3 , UTT, je inawezekana? Mfuko upi bora?

    Nataka niweke kama milioni 40 hivi kwa miezi mitatu, je itawezekana? Ni mfuko upi mzuri?
  4. Miezi 3 inaelekea NFRA hawajalipa mahindi mkoa wa Ruvuma kwa wakulima. Pia kodi kwenye malipo kuna kodi mkulima anakatwa

    Habari za asubuhi Watanzania wenzangu. Kwenye nchi hii kuna mambo yanaenda hovyo sana toka utoaji wa taarifa,maandalizi na mfumo mzima wa NFRA kama wakala wa chakula nchini. Ikumbukwe wakala huyu alijinabaisha kuwa sasa atajiongezea jukumu lingine la kufanya biashara na wakulima wa mahindi...
  5. Tiktok yatakiwa kutuma ripoti kila baada ya Miezi 3 katika udhibiti wa maudhui yasiyofaa

    Wizara ya Teknolojia ya Habari na Mawasiliano ya Kenya imewaambia Wabunge kuwa kuwasilishwa kwa Ripoti za Utekelezaji kila baada ya Miezi 3 Wizarani ni sehemu ya mpango wa kushughulikia athari hasi zinazohusiana na TikTok, badala ya kuifungia nchini humo Waziri wa Habari na Mawasiliano John...
  6. Mpenzi wangu ameniibia laki 5 akakimbilia Dar, popote alipo nampa salamu kwetu ni Kigoma

    Penny buana me nina makasiriko. Mpenzi wangu buana amenipiga laki 5 akanikimbia akaja Dar. Sa namtafuta mpaka kwao.kumbe kwao ni kwa mchongo. Simu hapokei. Money Penny: Hizo hela mlipeanaje mpaka useme umeibiwa? Mhanga: alisema mdogo wake anaumwa, anatakiwa afanyiwe opereshen mbeya...
  7. B

    Heche: Nyamongo haina mbunge, miezi 3 wauawa wananchi 11

    John Heche akihudhuria mazishi ya Sylverster Benson Nyangige aliyepigwa risasi ya kisogoni mgodini https://m.youtube.com/watch?v=bqg33ul1HPA John Heche asisitiza haiwezikani watu 11 wanauawa katika kipindi cha miezi 3 na mbunge hajapiga kelele, hatuwezi kunyamaza hili jambo liendelee ...
  8. Mtoto kawa na tabia isiyonipendeza baada ya kuishi mbali na mimi kwa miezi 3 tu

    Habari za humu wandugu, natumai wengi wenu hamjambo, Mimi ni yule yule ndugu yenu niliyekimbia umande kusoma sikuona dili, Kuna Uzi niliuletaga humu nikijisifia kuwa nimeweza kumlea mwanangu au kumfundiasha kuwa na tabia nzuri akiwa tu na Miaka miwili, Sasa kuanzia mwezi wa 11. 2023...
  9. Laki Moja yako itakupa milioni 3 kwa miezi 3 tu

    Habari za wakati huu ndugu zangu humu !! Siku nyingine tena tumshukuru Mungu tumeamka wazima, tukiendelea na harakati za utafutaji ridhiki za halali. Leo nina habari njema kwa wale wenzangu ambao hawana kazi ila wana pa kuanzia. Nazungumza na yule mtu ambaye anasema hana mtaji wakati mkononi...
  10. Rais wa Nigeria afuta safari za Viongozi za nje ya nchi kwa miezi 3 ili kubana matumizi

    NIGERIA: Rais Bola Tinibu amepiga marufuku safari zote za Nje za Viongozi kwa muda wa miezi mitatu kuanzia Aprili 1, 2024, lengo likitajwa kuwa ni mpango wa kubana na kupunguza Matumizi ya Serikali yasiyo na ulazima Hatua ya Rais inafuatia uwepo wa malalamiko ya Wananchi wanaodai Serikali...
  11. Spika Tulia: Bunge linataka mgao wa Umeme mpaka Juni uishe

    Spika wa Bunge la Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt Tulia Ackson, amesema kuwa Bunge limewapa Tanesco muda kufikia mwezi wa sita mgao wa umeme uwe umeisha. "Wacha tuipe serikali muda, kwa maana ipi wao walijipanga mwezi wa sita (shida ya umeme kuisha) wakarejesha nyuma mwezi wa pili...
  12. P

    Ukichukua video ya ajali Dubai unaweza kutozwa faini ya Tsh. Milioni 100 au zaidi au kifungo cha miezi 6 au vyote kwa pamoja

    Kuchukua video ama picha ya matukio ya ajali si jambo la kiungwana, lakini pia linakiuka haki ya faragha yao kulindwa na kuvunja sheria ya taarifa binafsi na faragha. Picha au video zinazochukuliwa zinaweza kuwa za kudhalilisha na kushusha utu wa watu waliohusika kwenye ajali hiyo. Kwa upande...
  13. N

    Amekamilisha taarifa zake zote muhimu kwa ajili ya kubadili jina na amehakikiwa kwa finger print ila kaambiwa asubiri miezi 3 jina ndiyo

    USUMBUFU NIDA:Amekamilisha taarifa zake zote muhimu kwa ajili ya kubadili jina na amehakikiwa kwa finger print ila kaambiwa asubiri miezi 3 jina ndiyo libadilike Kwenye system Mbona Kwenye usajili wa laini mambo haya hayapo? Pesa kalipa, uhamiaji kapita na kahakikiwa kila kitu na mhusika ni...
  14. Whozu afungiwa miezi 6, Mbosso na Billnass wafungiwa miezi 3. Wote wapigwa faini Tsh. Mil. 3. Wimbo wa 'Ameyatimba' umewaponza

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limemtaka Msanii Whozu kushusha mara moja video ya wimbo wake wa ‘Ameyatimba’ kwenye digital platform zote, pia limemtoza faini ya Tsh. milioni 3 na limemfungia kujishughulisha na kazi za sanaa kwa muda wa miezi 6 kuanzia leo November 04, 2023 kutokana na wimbo...
  15. M

    Kuna Bank au Mtandao wa simu napoweza kuweka pesa bila access ya kutoa kwa Miezi 3, 6, 9, au 12?

    Kiukweli nmeshindwa kabisa kutunza pesa, msaada wenu wakuu.
  16. Dar: Barabara ya Nyerere makutano ya Shaurimoyo kufungwa kwa miezi minne kupisha ujenzi wa daraja

    Uamuzi huo umetangazwa na Wakala wa Barabara (TANROADS) Dar es Salaam lengo likiwa ni kupisha ujenzi wa Daraja la Reli ya Kisasa ya SGR ambapo barabara hiyo itafungwa kuanzia Mei 28, 2023 hadi Septemba 30, 2023 baada ya ujenzi husika kukamilika. Imeelezwa katika kipindi hicho vyombo vyote vya...
  17. Afisa Usalama Feki ahukumiwa jela miezi 3

    Mahakama ya Wilaya ya Babati Mkoani Manyara imemuhukumu Patrick Wambura (34) Mkazi wa Bariadi Mkoani Simiyu kutumikia kifungo cha miezi mitatu gerezani kwa kosa la kujifanya Afisa Usalama wa Taifa. Hukumu hiyo imetolewa leo na Hakimu Mkazi Mfawidhi wa Mahakama ya Wilaya ya Babati Victor Kimario...
  18. Apple imeuza bidhaa za Tsh. Trilioni 273 ndani ya miezi 3

    Kampuni ya Apple imetoa ripoti yake ya mauzo ya robo yake ya kwanza ya mwaka 2023 iliyomalizika December 31. Roho ya mwaka ya Apple ni tofauti na robo mwaka ya nchi na makampuni mengine; Hivyo ni ripoti ya mauzo ya mwezi October, November na December 2022. Apple imeonyesha mapato ya dola...
  19. Mila za kushangaza: Maiti ipo mochuary kwa zaidi ya miezi 3

    Heri ya mwaka mpya wadau maana mwaka bado mpya huu ndo kwanzaaaa January. Turudi kwenye mada ya msingi, nina rafiki yangu Mghana alifiwa na mama yake tarehe 17 mwezi wa 10 mwaka jana. Sasa me nlijua msiba ulishaisha ila naona anasambaza tangazo kwamba bi mkubwa atazikwa tarehe 28 mwezi huu...
  20. Mama anatafuta njia ya kumrudisha Kalemani bila kumuudhi January, miezi 3 sasa bado hajapata njia sahihi

    Mama katika Baraza lake hamna mtu ambaye hamuelewi Kama dogo janja. Sio kwamba hampendi bali ni uwezo wake mdogo na kupenda rushwa. Mama ana wasiwasi Sana na dogo janja. Mpaka mama alikuwa anamwambia mdau wake mmoja kuwa Nina wasiwasi Sana Kama hili bwawa litaweza kuzalisha hata uniti moja...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…