We dogo una vielement vya kutojitambua au labda unajichukulia poa kiasi kwamba timu nazo zinakuchukulia poa.
Umeingia anga za usajili wa kimhemko wa Yanga ambao siku hizi wanasajili wachezaji ili kuikomoa Simba.
Huko ulipokwenda umekuta mambo hayaeleweki, timu haiwezi kusajili ina madeni mengi...