miezi mitatu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ni sahihi kwa mtoto wa miezi mitatu (3) kua na uzito wa kilo saba? (7)....

    Wakuu naombeni ushauri, ni sahihi kwa mtoto wa kike wa miezi mitatu kua na uzito wa kilo 7? ......
  2. A

    DOKEZO Mashine ya CT Scan Hospitali ya Mloganzila ni Mbovu kwa zaidi ya Miezi mitatu sasa, tatizo nini?

    Naandika nikiwa na huzuni sana hapa najiuliza ni uzembe wa Serikali au Uongozi wa Hospitali ya Mloganzila ulio chini ya Profesa Janabi au Dr Magandi... Mwaka jana 2024 nilikuja na mgonjwa wangu akihitaji huduma ya CT Scan lakini cha kushangaza nikaambiwa huduma haipatikani hapa mpaka Muhimbili...
  3. Kampuni ya China Tanzania Security yafafanua madai ya Walinzi wa Vituo vya Mwendokasi kutolipwa mishahara ya miezi mitatu

    Uongozi wa Kampuni ya China Tanzania Security umetoa ufafanuzi kuhusu madai ya Mwanachana wa JamiiForums.com aliyeandika kuwa wafanyakazi wa ofisi hiyo ambao ni Walinzi wanaosimamia Vituo kadhaa vya Usafiri wa Mabasi ya Mwendokasi hawajalipwa mishahara kwa muda wa miezi mitatu na kuwa wakidai...
  4. Waziri Ulega ambana Mkandarasi Daraja la Lukuledi, ampa miezi mitatu likamilike

    Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation anayejenga Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (KM 106), kukamilisha ujenzi wa daraja la Lukuledi. Agizo hilo amelitoa leo wakati akikagua Barabara na Madaraja katika...
  5. Ulega Ambana Mkandarasi Daraja la Lukuledi - Ampa Miezi Mitatu Likamilike

    ULEGA AMBANA MKANDARASI DARAJA LA LUKULEDI-AMPA MIEZI MITATU LIKAMILIKE Waziri wa Ujenzi Abdallah Ulega ametoa miezi mitatu kwa Mkandarasi M/s China Railway 15 Bureau Group Cooperation anayejenga Barabara ya Nachingwea-Ruangwa-Nanganga (KM 106), kukamilisha ujenzi wa daraja la Lukuledi...
  6. Rais Samia na jicho la mwewe miezi mitatu nyuma alisema huko ndani kwao Chadema kunawaka moto haya sasa tunayashudia!

    Miezi mitatu na ushee pale Raisi Samia alipokuwa akitoa hotuba ,kati ya maneno aliyosema ni kuhusu wanasiasa haswa lissu kuropoka sana kuhusu CCM na Serikali . Alisema huko ndani Chadema kunawaka moto wengi walichukulia labda ni kauli za vijembe vya kawaida katika siasa kumbe Raisi Samia ana...
  7. Ukitupia mil 15 unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi mitatu?

    NI NMB bonus account, mil 15 kama akiba ukatupia huko unavuna sh. Ngap kwa Kila miezi 3?
  8. A

    KERO Kigamboni City College kushindwa kulipa clinical instructors kwa zaidi ya miezi mitatu

    Chuo Cha Kigamboni city college kilichopo Kigamboni kinatoa huduma za kifundisha wwanafunzi wa kada mbalimbali za afya. Shida yao ni kushindwa kulipa madai ya walimu( clinical instructors). Walimu Hawa husimamia mitihani ya wwanafunzi Hawa katika hospitali mbalimbali. Walipoulizwa juu ya...
  9. K

    KERO Mradi wa Maji katika Kijiji cha Bukundi (Meatu - Simiyu) unaodaiwa kugharimu Tsh. Milioni 500 ulitoa Maji kwa miezi mitatu tu

    Sisi wakazi wa Kijiji cha Bukundi Wilaya ya Meatu Mkoani Simiyu, ambapo Serikali ilitekeleza Mradi wa Maji ambao tuliambiwa thamani yake ni Sh. Milioni 500 kisha ukafanya kazi kwa muda wa miezi mitatu tu, tunaomba kujua hatma ya mradi huu na huduma ya maji kwenye kijiji chetu. Mwaka 2016...
  10. Dkt. Wahome Ngare: 80% ya wanawake wajawazito waliochoma chanjo ya Covid19 walipoteza ujuauzito ndani ya miezi mitatu ya mwanzo

    Tafiti hupingwa kwa tafiti. Kenyan Doctor exposes World Health Organization’s dark agenda to depopulate Africa through vaccines. ========================== 29/01/2025 https://www.instagram.com/reel/DFWxYfxxWl_/?igsh=MXB5a3ZtNGtldGJhMg==
  11. A

    Mradi wa elimu mbadala kwa wanafunzi waliokatisha masomo SEQUIP - AEP haujafanya malipo kwa muda wa miezi mitatu mfululizo bila taarifa yoyote

    Taasisi ya Elimu ya Watu Wazima (IAE) inatekeleza mradi wa kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kupata elimu kwa njia mbadala (SEQUIP) chini ya programu ya Altenative Education Pathway (AEP). Mradi huu unafadhiliwa na Benki Kuu ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mpaka...
  12. KERO Miezi mitatu nafuatilia Passport mpya, napigwa kalenda tu, ni kweli UHAMIAJI mmeishiwa material ya kuprinti Passport mpya?

    Nilianza kufanya mchakato wa maombi ya kupata Pasi ya Kusafiria kwa kufuata njia halali, awali nilienda Kibaha Mkoani Pwani, kuna staff mmoja wa pale akanishauri kuwa kama nina haraka nifanye mambi yangu mtandaoni kisha nielekeze nikachukue Passport yangu hiyo Dar es Salaam Nikafanya hivyo...
  13. Bashungwa amkabidhi Dkt. Msonde Taasisi ya TEMESA na TBA, ataka mageuzi ndani ya Miezi Mitatu

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuelekeza Naibu Katibu Mkuu wa Wizara hiyo Dkt. Charles Msonde kuhakikisha anazisimamia Taasisi za Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) na Wakala wa Majengo Tanzania (TBA) kufanya mabadiliko na kutafuta ufumbuzi wa changamoto zinazokabili Taasisi hizo ili...
  14. Ndani ya miezi mitatu kutakuwa na mabadiliko makubwa ya Baraza la Mawaziri

    Kutoka katika korido za Lumumba mpaka korido za Magogoni ma Chamwino, moto unawaka. Yule mropokaji ametimiza kwa uzuri ile script yake aliyopewa kule Umasaini jana. Kuna mabadiliko makubwa yanakuja katika baraza. Kuna majina makubwa yataondolewa katika nafasi zao za sasa! Naambiwa wale wazee...
  15. Ripoti ya TAKUKURU Mkoa wa Ilala: Mkandarasi akatwa zaidi ya milioni 327 kwa kuchelewa kukamilisha mradi wa vyoo vya umma Dar

    https://www.youtube.com/watch?v=GsdrbCwShyU Mkuu wa Taasisi ya Kuzuia na Kupambana na Rushwa (TAKUKURU) – Mkoa wa Ilala, Sosthenes Kibwengo anatarajiwa kuzungumza na Wanahabari kwa ajili ya kutoa taarifa ya miezi mitatu, leo Januari 31, 2024. Mkutano huo na Wanahabari unatararajiwa kufanyika...
  16. USHAURI: Vipimo vya UKIMWI kupitia mdomo vinaonesha mmoja wetu ameathirika, sasa hataki tena kunipa unyumba

    Nampenda sana mke wangu, inshort ni mrembo sana na amejaaliwa kila kitu ambacho mwanaume anakitaka kwa mwanamke na nimezaa naye mtoto mmoja. Miezi mitatu iliyopita tulikuwa katika hali ya kutaniana, mimi nilikuja na vipimo vya HIV vile vya kuweka mdomoni, kuna jamaa yangu ni daktari alinipa...
  17. K

    Shirika la ICAP halijalipa mishahara wafanyakazi wake walio chini ya Halmashauri Mwanza na Geita kwa miezi mitatu sasa

    Ndugu Waziri wa Afya Ummy Mwalimu, International Center for AIDS Care and Treatment Program - ICAP, Mkoa wa Mwanza, shirika halijalipa mishahara ya watumishi wake kwa miezi 3 sasa. Hakuna taarifa kwanini hawajalipa mishahara kwa miezi 3. DAS na RACC (wasimamizi wa kazi na mikataba) hawatoi...
  18. M

    Jumba la kifahari la Mwenyekiti Mbowe lazua maswali ndani ya CHADEMA

    Ameandika Dr. Sisimizi Hali ya sintofahamu imeendelea kugubika ndani ya CHADEMA kufuatia baadhi ya Wajumbe wa Kamati Kuu kuona nyumba ya kifahari anayoishi Mwenyekiti wao Freeman Mbowe ambayo ameijenga hivi karibuni huko Machame. Sintofahamu hiyo imekuja baada ya baadhi ya Wajumbe wa Kamati...
  19. Serikali yaipa NHIF miezi mitatu kuimarisha mfumo wa TEHAMA kuondoa usumbufu wa wagonjwa wa Bima

    Naibu Waziri wa Afya Dkt. Godwin Mollel, leo Bungeni Jijini Dodoma wakati akijibu swali la Mbunge wa Geita Mjini, Constantine John Kanyasu (Kwa niaba ya Waziri wa Afya, Ummy Mwalimu) aliyeuliza kwa nini NHIF inazuia matibabu ya baadhi ya wagonjwa wenye Bima za Afya wakiwa Hospitali. “Ni kweli...
  20. Kusubiri marekebisho ya Taarifa za NIDA kwa zaidi ya miezi mitatu ni uzembe wa Mamlaka

    Watanzania tunaofanya marekebisho ya Taarifa za Kitambulisho cha NIDA kuna mlolongo mrefu na gharama kubwa lakini bado pia taarifa hazirekebishwi kwa zaidi ya miezi mitatu. Wengi tunafahamu kuwa kuwa na kitambisho cha Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) ni jambo muhimu na linarahisisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…