Habari,
Iko hivi: Nina gari yangu Toyota Wish ambayo nimekuwa nikiitumia katika biashara ya Taxi mtandao( Uber,Bolt,Ping,Tantaxi,Little ride).
Nilipata changamoto ya ghafla ya kifamilia na sikuwa na akiba ya pesa ikabidi niweke bondi hiyo gari.Gari inadaiwa Tsh 1,600,000/=.Nimepambana...