miezi miwili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Roving Journalist

    Waziri Mchengerwa atoa miezi miwili kwa mkandarasi kukamilisha jengo la TAMISEMI

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (TAMISEMI), Mohammed Mchengerwa amempa mkandarasi anayejenga jengo la TAMISEMI katika Mji wa Serikali Mtumba, Dodoma miezi miwili kuhakikisha anakamilisha ujenzi, ili ifikapo Juni Mosi mwaka huu jengo hilo lianze kutumika rasmi...
  2. The Watchman

    Serikali imelipa takribani bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja

    Waziri wa Ujenzi, Abdallah Ulega amesema serikali imelipa takribani Sh bilioni 254 ndani ya miezi miwili kwa wakandarasi mbalimbali wanaotekeleza miradi ya barabara na madaraja nchini baada ya maelekezo ya Rais Samia Suluhu Hassan. Ulega ameyasema hayo jijini Dodoma siku ya Jumapili Februari 9...
  3. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa NIDA, Vitambulisho Milioni 1.2 Vilivyotengenezwa Kuwafikia Wananchi

    Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innocent Bashungwa ametoa miezi kwa miwili Mamlaka ya Vitambulisho vya Taifa (NIDA) kuhakikisha vitambulisho milioni moja na laki mbili ambavyo tayari vimeshatengenezwa vinasambazwa na kuwafikia Wananchi walengwa. Waziri Bashungwa amesema hayo leo Disemba 17...
  4. MSAGA SUMU

    Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, ndani ya miezi miwili kafanikisha kumpatia Sativa vibali vya kuishi Ubelgiji.

    Huyu Lissu sio mtu wa mchezo mchezo, waarabu kila kukicha wanajaribu kuingia ulaya bila mafanikio pamoja na kuwa na sifa sahihi za kuwa wakimbizi. Ndani ya muda mchache na kupitia connection zake umoja wa Ulaya, Lissu amefanikiwa kumpatia karatasi zote muhimu kumfanya kijana Sativa kuishi...
  5. Waufukweni

    Maiti ya Mchungaji John Chida iliyosubiriwa ifufuke kwa miezi miwili yazikwa Iringa, Agnes Mwakijale anashikiliwa na Polisi kwa kuishi na Maiti

    Hatimaye mwili wa aliyekuwa Mchungaji wa Kanisa la El-Huruma (E.H.C), John Chida aliyetarajiwa kufufuka, umezikwa leo Desemba 6, 2024 katika makaburi ya Mlolo Manispaa ya Iringa. Mwili wa mchungaji huyo ambaye alifariki dunia Oktoba, uligunduliwa Desemba 3, mwaka huu ndani ya nyumba yake ukiwa...
  6. A

    KERO Taasisi ya Elimu ya watu wazima haijalipa wawezeshaji wa mradi wa SEQUIP kwa miezi miwili mfululizo bila taarifa yoyote

    Mradi wa SEQUIP - AEP unafadhiliwa na Benki ya Dunia na unatekelezwa na Ofisi ya Rais TAMISEMI. Mradi huu unalenga kuwarudisha watoto wa kike waliokatisha masomo kwa sababu mbalimbali kupitia elimu mbadala (Alternative Education Pathway). Mpaka sasa umepita muda wa miezi miwili mfululizo...
  7. Roving Journalist

    Mbeya: Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kumbaka Mwanafunzi

    Kijana wa Miaka 17 ahukumiwa kifungo cha nje Miezi miwili kwa kosa la kumbaka Mwanafunzi Halikadhalika, Mtoto wa kiume mwenye umri wa miaka 17 Mkazi wa Kijiji cha Kilambo, mwanafunzi wa kidato cha Nne katika Shule ya Sekondari Ikimba amehukumiwa kifungo cha nje miezi 12 pamoja na kumlipa fidia...
  8. N

    DOKEZO Meli ya MV. Victoria (Mwanza) haina crane ya kubebea mizigo zaidi ya miezi miwili, ni hujuma?

    Meli ya MV. Victoria iliyo chini ya Kampuni ya Huduma za Meli (MSCL) inayofanya safari zake kati ya Mwanza na Bukoba, kwa miezi kadhaa sasa “crane machine” haifanyi kazi baada ya kuharibika. Hatua hiyo kwa namna moja au nyingine inaikosesha Serikali mapato yatokanayo na shehena ya mizigo kutoka...
  9. Nyendo

    DOKEZO Malamba Mawili Msikitini hakuna maji bombani kwa miezi miwili, DAWASA ukiwapigia wanajibu tumepokea taarifa tutaiwasilisha sehemu husika inaishia hapo

    Malamba Mawili Msikitini hakuna maji bombani kwa miezi miwili, DAWASA ukiwapigia wanajibu wamepokea taarifa wataiwasilisha sehemu husika inaishia hapo, ukipiga tena wanakuuliza taarifa mpya kabisa na wanasema ndio taarifa ya kupokea, ni kama ukimaliza kuongea nao hakuna chochote wanachofanya...
  10. Mr Dudumizi

    Haitopita miezi miwili bila Waziri Masauni au IGP Wambura kung'olewa ofisini

    Habari zenu wanaJF wenzangu, Hawa jamaa wawili ni kama vile wamepewa majukumu makubwa wasiyoyaweza. Watu wanatekwa, wanauwawa na wengine kupotezwa kimya kimya wao wanaangalia tu. Sasa sijui jukumu la waziri wa mambo ya ndani na IGP ni nini? Sikatai kwamba inawezekana polisi au serikali...
  11. Roving Journalist

    Serikali yasema baada ya miezi miwili itatangaza fursa ya uwekezaji Soko la Kijichi

    Baada ya Mdau wa JamiiForums.com kudai kuwa Soko la Kijichi lililojengwa kupitia mradi wa uboreshaji wa Miundombinu ya Dar (DMDP) kwa mkopo wa Benki ya Dunia (WB), linaonekana kama limetelekezwa, DC na Mkurugenzi wa Temeke wametoa Ufafanuzi Mbunge wa Jimbo la Mtoni, Abdulhafar Idrissa Juma...
  12. SAYVILLE

    Ikifika Derby ya October, wazee wa Yanga watakuwa wamesogeza umri kwa miezi miwili

    Jana vijana wa Ultrasound waliwatoa ulimi kweli kweli vyura wakongwe bado kidogo watapike nyonga. Baada ya mechi tuliwaona kina Mzee Aucho viungo vyote havifanyi kazi hata kutembea kwenda vyumbani ilikuwa shida. Tunaenda kuongeza chuma moja matata sana kusimama pale namba 9 akishare namba na...
  13. Roving Journalist

    Waziri Bashungwa atoa miezi miwili kwa CRB na NCC kuunda Mabaraza ya Wafanyakazi

    Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa amemuagiza Katibu Mkuu wa Wizara ya Ujenzi, Balozi Mhandisi Aisha Amour kuhakikisha anazisimamia Taasisi za Baraza la Taifa la Ujenzi (NCC) na Bodi ya Usajili wa Makandarasi (CRB) kuhakikisha zinaunda Mabaraza ya Wafanyakazi ambayo yanaundwa kwa mujibu wa...
  14. Jidu La Mabambasi

    Teua-Tengua, nyingine itakuja tu ndani ya miezi miwili ijayo!

    Sasa wapiga kura, wananchi, walipa kodi, tumeanza kujua kiini cha Teua-Tengua zinazoendelea kila baada ya miezi miwili au mitatu. Wengi wanaokumbwa si kwamba hawafanyi kazi, la hasha! Wengine si kwamba ni wabadhirifu, la hasha! Inavyoelekea, hizi Teua-Tengua msingi wake ni mmoja tu-...
  15. Stephano Mgendanyi

    Bashungwa Atoa Miezi Miwili kwa Mkandarasi Kukamilisha Daraja la Mtoa Ruaha Mkuu - Kilombero

    BASHUNGWA ATOA MIEZI MIWILI KWA MKANDARASI KUKAMILISHA DARAJA LA MTO RUAHA MKUU - KILOMBERO Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ametoa miezi miwili kwa Mkandarasi wa Kampuni ya M/s Reynolds Construction Company kukamilisha ujenzi wa Barabara ya Mikumi-Kidatu-Ifakara, sehemu ya Kidatu-Ifakara...
  16. FRANCIS DA DON

    Kompa kuizika Amapiano ndani ya miezi miwili ijayo

    Kompa music vs Amapiano. Nadhani ni muda muafaka sasa wasanii wa Muziki nchini Tanzania wakatibadilishia ladha kdigo toka Bongo piano kuelekea Kompa. Au ikishindikana kabisa wafanye mchanganyiko wa Bongo piano na Bongo Kompa. Kompiano ndio itakuwa balaa jipya mjini ndani ya miezi miwili ijayo...
  17. Webabu

    Israel yaomba vita visitishwe angalau kwa miezi miwili

    Hali inazidi kuwa tete kwa Israel baada ya waziri mkuu mwengine wa zamani Tzippi Livni kutomuamini Netanyahu na mipango yake ya vita. Bibi huyo naye ameondoa matumaini ya kushindwa kwa Hamas akiungana na Ehud Barak na waziri Gadi ambaye yumo ndani ya baraza la kuongoza vita. Katika hali hiyo...
  18. Girland

    Ndoa ya rafiki yangu imedumu miezi miwili tu! -kweli ndoa ni mtihani?

    Rafiki yangu ni mfanyabiashara Kariakoo hivyo pesa ya kubadili mboga sio Tatizo lake kabisa. Amedumu katika mahusiano zaidi ya miaka 8 na mwenza wake wa maisha kabla ya kuamua rasmi kufunga ndoa mwishoni mwa November 2023. KILA MTU HAELEZI TATIZO Wasuluhishi wameshindwa kwani kila mtu haongei...
  19. S

    Dar es Salaam imetumia mabilioni ya fedha kuziba mashimo barabarani, miezi miwili baadaye 80% ya mashimo yaliyozibwa yamerudi

    Kwa mtu ambae hana fani ya uhandisi angeona kwamba Dar es Salaam ya Chalamila ilifanya kazi nzuri sana miezi ya October na November 2023, kuziba mashimo mengi sana yaliyokuwa barabarani. Lakini baadhi ya mainjinia walituambia kilichokuwa kinafanyika ulikuwa ni utoto na kupiga fedha za serikali...
  20. Roving Journalist

    Mara: Uongozi Mgodi wa Cata Mining wasema utawalipa Wafanyakazi wake waliogoma kwa kutolipwa mishahara

    Siku chache baada ya Wafanyakazi wa Mgodi wa Dhahabu, CATA MINING ulioko Kijiji Katalyo Wilayani Butiama Mkoani Mara kufanya mgomo wakishinikiza kuliwa mshahara wao wa miezi miwili, uongozi wa Mgodi umetoa ufafanuzi. Mbali na Mishahara wafanyakazi hao wanadai michango yao katika mfuko wa...
Back
Top Bottom