miezi sita

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. MKATA KIU

    Hakikisha mshahara wako wa mwezi mmoja unatosha kulipa kodi ya miezi sita , kama hautoshi tambua umepanga nyumba sio size yako. madeni hayatakuisha

    habari wadau. Nimegundua watu wengi wanapanga nyumba zenye kodi kubwa kulipo uwezo wao. wanateseka sana na mikopo hasa muda wa kodi unapofika. wakifata hii sheria ya asili ya maswala ya kodi za nyumba, wataishi kwa amani sana
  2. A

    KERO YAS sasa wamekuwa kero, nimetuma maombi ya miamala ya miezi SITA iliyopita, nimeishia kupigwa danadana tangu Februari 13

    Leo hii naandika haya ni tarehe 20 takriban siku saba sasa kila unapowasiliana nao wanakuambia suala lako tunalishughulkia, ndani ya saa 24 usipowatafuta tena ndo inakuwa imeisha hiyo. Ukiwatafuta kesho wanarudia kauli Ile ile. Mwisho nikawaambia kama wameshindwa wanipe pesa yangu online support...
  3. Cannabis

    Pre GE2025 Yericko Nyerere: Lissu akipewa chama kitakufa ndani ya miezi sita, ametumwa na dola kuiua CHADEMA

    Yericko Nyerere ameonyesha kukerwa na kauli za Lissu na kusema kuwa akipewa chama basi kitakufa ndani ya miezi sita na kuwa historia. Kwenye heading naomba isomeke kuiua sio kuiia
  4. chiembe

    Pre GE2025 CHADEMA iko tayari kuongozwa na Mwenyekiti wa Taifa ambaye atatumia zaidi ya miezi sita ya mwaka akiwa Ubelgiji na familia yake?

    Hili ni suala muhimu sana. Chadema iko tayari? Uhai wa chama utakuwaje? Hata hotuba ya leo ya mwaka mpya kaitoa akiwa ubeleji na familia yake. Wakati akihubiri siasa za "Tanzania itachimbika" yeye kachimbia watoto na mke ubeleji
  5. Q

    CCM haina Makamu Mwenyekiti kwa miezi sita sasa

    Tangu aliyekuwa makamu mwenyekiti wa CCM Abdulrahman Kinana atofautiane na Mwenyekiti wake na baadae kufukuzwa mwezi wa 7, hadi leo hakijapata mbadala wa kujaza nafasi hiyo. WanaCCM wengi wanahoji inakuwaje chama kikongwe kama hiki kikose mtu sahihi wa kumsaidia Mwenyekiti, wanahoji kwanini...
  6. Waufukweni

    Tetesi: Al Ahly wanamtaka Ronaldo kwa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya Kombe la Dunia la Vilabu Marekani

    Wakuu Inaelezwa kuwa Wajumbe wa bodi ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo, Mahmoud El Khatib, kujaribu kumsajili Cristiano Ronaldo kwa mkataba wa mkopo wa miezi sita kwa ajili ya michuano ya Kombe la Dunia la Klabu litakalofanyika nchini Marekani. Baada ya kuweka rekodi ya mabao...
  7. B

    Mkuu wa mkoa wa Arusha, Paul Makonda kuzungumza na wanahabari kuhusu Ripoti yake ya Miezi Sita

    RIPOTI YA MIEZI 6 YA MHE. PAUL MAKONDA (MKUU WA MKOA WA ARUSHA) Mhe. Paul MAKONDAAtazungumza na Waandishi wa Habari Jumapili Novemba 17, 2024 Ukumbi wa Simba Hall AICC - ARUSHA Kuanzia Saa 9 Kamili Mchana. TUKIO HILI KUBWA LITAKUA LIVE KUPITIA @WASAFITV NA YOUTUBE WASAFIMEDIA ...
  8. Waufukweni

    TMA: Joto limeongezeka duniani, Mvua kuwa za wastani

    Mamlaka ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imetangaza mwelekeo wa msimu wa mvua za vuli na msimu wa mvua za masika zitakazoishia Aprili 2025. Akizungumza na waandishi wa habari Oktoba 31, 2024, Kaimu Mkurugenzi Mkuu wa TMA, Dk. Ladislaus Chang’a alisema mvua za chini ya wastani zinatarajiwa katika...
  9. M

    Arusha: Mwanamke afariki wakati anatoa mimba ya miezi sita

    Mwanamke mmoja anayekadiriwa kuwa na umri 39 anayefahamika kwa majina Airini au mama QUEEN amekutwa amefariki nyumbani kwake katika chumba anachoishi lakini pembeni kukiwa na kichanga kinachokadiriwa kuwa na miezi 6 . Tukio hilo limetokea mtaa wa kambi ya chupa halmashauri ya jiji la Arusha...
  10. K

    Naishauri Serikali ifunge Uvuvi wa Samaki katika ziwa Victoria kwa muda wa miezi sita

    Samaki katika Ziwa Victoria kama vile wamekwisha kabisa. Wavuvi wanatumia gharama kubwa sana na mwisho wa siku hakuna faida wanayopata kutokana na ukosefu wa samaki. Pili Ziwa Victoria imechafuliwa na kila aina ya uchafu na hivyo kupelekea kutozaliana kwa samaki. Kutokana na sababu hizo...
  11. J

    Naibu Waziri aagiza ujenzi soko la kisasa Muleba kukamilika ndani ya miezi sita

    Naibu Waziri Ofisi ya Rais – Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa (Tamisemi), Zainab Katimba amemwelekeza Mkurugenzi wa Halmashauri ya Wilaya ya Muleba, mkoani Kagera akamilishe haraka hatua za manunuzi na kupata mkandarasi wa ujenzi wa soko la kisasa la Muleba na kuhakikishe ujenzi unakamilika...
  12. JanguKamaJangu

    Watakaojiandikisha kuwa wapiga kura zaidi ya mara moja kufungwa jela miezi sita

    Wananchi watakaofanya udanganyifu ili wajiandikishe zaidi ya mara moja wanatenda kosa na wakibainika wanaweza kufungwa jela kifungo kisichopungua miezi sita na kulipa faini. Hayo yamesemwa na Mwenyekiti wa Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi, Jaji (Rufaa) Jacobs Mwambegele leo Julai 25, 2024 wakati...
  13. Suley2019

    Kisauji (babu wa TikTok) afungiwa miezi sita

    Baraza la Sanaa la Taifa (BASATA) limesema limejiridhisha kuwa Seif Kassim Kisauji maarufu Babu wa TikTok ametenda kosa la kimaadili wakati akitekeleza kazi zake za sanaa na limefikia maamuzi kumfungia kutokujishughulisha kufanya kazi za sanaa ndani na nje ya Tanzania kwa kipindi cha miezi sita...
  14. M

    SoC04 Hakikisha unaweza kuishi miezi sita bila mshahara na usiathirike, hapo utakuwa mstaafu mzuri ajaye

    Maisha ya ajira yanafanana na ndoa , kwenye ndoa kila siku watu watu wanatamani kuingia huko mpaka kwenda kwa waganga ila wanasahau kitu kimoja ambacho ni kujiandaa kuishi ndani ya ndoa hiyo na kwenye ajira kila siku watu hutafuta kazi ila wanasahau kuwa kuna siku wataishi bila hiyo kazi...
  15. Determinantor

    Ni Aibu Tabora kushindwa kurejesha taa za barabarani zaidi ya miezi sita sasa

    Yaaani kila nikipita Tabora kuna zile taa za barabarani hazipo (zimeibwa/zimeondolewa) ila hio sio tatizo. Tatizo ni kwa namna gani mamlaka husika wanashindwa kuzirejesha Kwa kipindi cha muda mrefu hivi?? Nimejiuliza maswali mengi Sana kila nikipita hapa, hizi ni Kodi zetu sote; inakuaje...
  16. BARD AI

    Rais Samia ampa miezi 6 Mkurugenzi mpya wa TANESCO kuondoa kero ya kukatika Umeme

    Rais wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan leo September 26,2023 amewaapisha Viongozi mbalimbali Wateule Ikulu jijini Dar es salaam ambapo pamoja na mambo mengine amempa miezi sita ya matazamio Mkurugenzi Mkuu mpya wa TANESCO, Mhandisi Gissima Nyamo-Hanga na kumwagiza kuwa baada ya hiyo miezi...
  17. Pdidy

    Wanandoa wapya, miezi sita ya kwanza mpendane sana

    Ndoa n jambi jema sana. Usikubali kuingia kwenye ndoa mmenuniana. Yaani ile miezi ya mwanzo msipoonyrshana upendo kinachofwata n mazoea ya ndoa. Jitahidi hata ukiact hii miezi ndio ya kula raha ya pamojaaaaaaa Yajayoooo yanafurahisha, sikutishii Wachaga wanasema bado mtasemaaaa. Sikukuu...
  18. LIKUD

    Marekani waongeza muda wa kupata visa ya Marekani kwa watanzania hadi kuwa miezi Sita

    Kwa mujibu wa Ernest B. Makulilo wa EBM SCHOLARS kwa sasa muda wa kuprocess visa ya kwenda Marekani kwa raia wa Tanzania ni miezi Sita. Kwa lugha nyepesi ni ukiomba visa ya kwenda Marekani leo utapokea majibu ya maombi yako baada ya miezi Sita (Februari 2024)
  19. R

    Madavadi awaambia Wakenya wajiandae kwa nyakati ngumu za uchumi, miezi sita haitoshi!

    Waziri Mkuu Musalia Mudavadi anasema kwa sasa nchi haiwezi kutatua hali ngumu ya kiuchumi iliyopo katika kipindi kifupi ambacho serikali ya Kenya Kwanza ilikuwa imepanga wakati inachukua madaraka. Akizungumza Ijumaa wakati wa ufunguzi wa mkutano wa ujasiriamali uliofanyika katika kanisa la ACK...
  20. Jugado

    Challenge: Kuacha pombe kwa miezi sita

    Nataka kuacha pombe kwa miezi sita, mwili wangu umeanza kuchoka lakini pia nataka kufanya saving kidogo, nataka ninywe Christmas 2023. Nipeni mbinu nifanikiwe. Hili ni tangazo la kuacha pombe kwa miezi sita, ila watu wa karibu/walevi wenzangu siwaambii, ni kukwepana tu mpaka December. Sign -...
Back
Top Bottom