Heri ya siku ya wafanyakazi, huku kusini mwa nchi imepambwa na mabango lukuki ila moja limenivutia. Waajiriwa wanataka fao lao lote wakafanye maisha mengine na si mafungu kama Serikali wanavyoona.
Kwanini mtu pesa yake ameiifadhi maisha yake yote ya kufanya kazi halafu siku ya kuipata mnaanza...