Hakuna cha kuzuiwa ila ni mabadiliko ya aina ya mifuko. Nenda sokoni kanunuwe mboga, mihogo utapewa mfuko wa plastiki, chumvi zipo kwenye mifuko ya plastiki mi nadhani yalikuwa maamuzi ya kukurupuka tu.
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa watoa huduma na ndugu wa wagonjwa katika mazingira ya hospitali (Upanga na Mloganzila) ikiwemo wodini na maeneo mbalimbali ya kutolea huduma.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo...
Uongozi wa Hospitali ya Taifa Muhimbili umepiga marufuku matumizi ya mifuko ya plastiki kwa watoa huduma na ndugu wa wagonjwa katika mazingira ya hospitali (Upanga na Mloganzila) ikiwemo wodini na maeneo mbalimbali ya kutolea huduma.
Kwa mujibu wa taarifa kwa umma iliyotolewa na Mkuu wa Kitengo...
January Makamba alifanikiwa sana kuweka mikakati ya kupambana mifuko ya plastiki. Ile mieusi ya kubebea chipsi nk. Hongera kwake.
Mifuko hiyo imerudi tena kwa kasi kubwa na safari hii ni rangi ya buluu bahari. Hata Waziri Suleiman Jaffo anazijua. Tunakwama wapi vita ya mazingira?
Wakuu nilikuwa bar napata kitu standard cha Serengeti Lager akaja muuza karanga na mifuko aliyonayo ni above 30 microns. Je, mbona ni migumu sana hii kampuni imechunguzwa kwamba inakubalika.
RC MAKALLA: MSAKO WA MIFUKO YA PLASTIKI KUANZA JUMATATU YA AUGUST 29.
- Makamu wa Rais Dkt. Philip Mpango Ameelekeza msako wa mifuko ya Plastiki ufanyike Mikoa yote.
- Awataka Viongozi wa Masoko yote kutoa tangazo la katazo la uuzaji wa Mifuko hiyo.
- Wenyeviti wa Masoko waahidi kushirikiana...
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam, Amos Makalla ametangaza operesheni ya kukamata mifuko ya plastic iliyokatazwa huku akiwataka wananchi kujiepusha na matumizi ya mifuko hiyo.
RC Makalla ametangaza operesheni hiyo leo Ijumaa Augusti 19, 2022 wakati wa kikao kazi na wazalishaji wa mifuko mbadala...
Wakati wa utawala wa awamu ya tano tulishapiga hatua kwenye ishu ya kudhibiti mifuko ya plastiki iliyokuwa inageuza nchi yetu kuwa kama jalala.
Sasa hivi mifuko na vifungashio vya plastiki imerea tena nchini, uharibifu wa mazingira unaendelea kama kawaida.
Mifuko inatupwa hovyo mitaani, na...
Sijaona mafanikio yoyote ya maana kwa miaka kumi iliyopita zaidi ya kupiga vita matumizi ya mifuko ya Rambo hapo ndipo nilipowakubali na kuona kweli mmefanya kitu akili zilitumika ila kwingine kote naona hakuna ustawi.
Sijui labda pengine kwa kuwa Mimi sio mzungukaji sana kwahivyo sijatembelea...
Habari wada!
Naomba nichukue nafasi hii kuwakumbusha hawa ndugu zetu wa NEMC hususa kipindi hiki cha kiangazi, kuangalia na kukagua miundombinu ya mifereji yetu ya jiji la Dar es Salaam.
Naona NEMC wamekuwa kama wanazima moto vile kwenye baadhi ya mambo ambayo ni wajibu wao hususa miundombinu...
Matumizi ya mifuko ya plastiki inaweza kusababisha madhara yafuatayo;
1.) Kansa za aina mbali mbali
- Uchomaji wa mifuko ya plastiki majumbani, mabarabarani, mahospitalini pamoja na kwenye madampo husababisha kemikali za sumu aina ya carcinogens kusambaa hovyo kwenye hewa unayovuta. Mfano wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.