Wakuu salam,
Sijui kwa maeneo mengine ila huku mitaa ya Mbezi Beach kwa Zena kuna maboresho ya mfumo ya maji taka ambayo yanafanywa kwa baadhi ya nyumba wanaotaka kuwekewa mfumo huo. Walianza kuweka chemba barabarani na sasa wanaunganisha mifumo hiyo.
Hapa ni kwa mara ya kwanza baada kuweka...