Amjambo?
Nimekua nikifuatilia hali ya kisiasa nimekuja na kitu,siku zote mapinduzi ya kisiasa ufanywa na watu wenye pesa usitegemee common mwananchi kusimamia jukumu ili kwa sababu mbili,kwanza hana resources za kumsaidia haki upande wa mahakama na pili hana kipato cha uhakika kuendesha familia...