Washtakiwa 20 wakiwemo raia wanne wa kigeni kutoka mataifa ya Afrika Mashariki wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana na kusomewa mashtaka 195 ikihusisha kesi ya kuongoza genge la uhalifu pamoja na uhujumu uchumi, matumizi ya vifaa vya kielektroniki yaani simu box kuingilia mfumo wa...