mifumo ya tehama

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Utengenezaji, uwekaji na usimamizi wa mifumo ya TEHAMA katika Biashara, Afya, Elimu n.k

    πŸ“’ TANGAZO LA KIBIASHARA πŸ“’ Dar ITcare - Wataalam wa TEHAMA kwa Mahitaji Yako! Je, unahitaji suluhisho bora la kiteknolojia kwa biashara au taasisi yako? Dar ITcare tunatoa huduma za kitaalamu na mifumo inayokidhi mahitaji yako, ikiwemo: Huduma Zetu: Mifumo ya Biashara: πŸͺ Maduka (POS) πŸ’Š Famasi...
  2. TAMISEMI inabidi muutazame mpya mfumo wenu wa malipo upande wa maegesho

    Imagine ni weekend unataka kuondokana na madeni ya tamisemi mintarafu maegesho. Unaingia kwenye mfumo wao na kuanza kupachipa namba za gari zako (za kampuni). Mfumo unakwambia kuna hitilafu na haiwezekani kupata huduma hiyo kwa muda huo. Unajaribu tena baada ya saa kadhaa na majibu ni hayohaho...
  3. M

    Tanzania Tehama inaimbwa lakini vigogo wanaikataa kwasababu inawanyima ulaji?

    Enzi za Anko Magu TRC walikuwa na online system ya kukata tickets, ile system ilikuwa rahisi sana, simple yani unaenda station kupanda train tu. Ukienda kukatia ticket station basi umependa mwenyewe. Mimi mwaka 2017 mpka 2021 nilikuwa muumini sana wa safari za train kama nakuwa sina haraka...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…