mifumo

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Kusoma VETA hakutakusaidia lolote kwenye nchi hii, tatizo ni mifumo wezeshi mibovu. Angalia madereva wa mabasi yanayowakuta kwa ground.

    Nenda kasome tu for your own benefits and risks. Ila kwa ground mambo ni tofauti sana. Kasomee ufundi unaotaka wewe, ila the moment umefungua ka kibanda kako tu, hujaanza kuingiza hata senti 5, TRA hawa hapa. Hata wale walioajiriwa, siku wakikuonesha salary slip zao, utawaonea huruma. Usione...
  2. J

    Pre GE2025 Askofu Bagonza asema kupiga kura ktk mfumo wetu wa uchaguzi ni wastage of time. Bila mageuzi katika mifumo ni sawa na kutokuwa na uchaguzi

    Askofu Kalikawe Benson Bagonza anasema kama mfumo hautafanyiwa marekebisho itakuwa ni sawa na hakuna uchaguzi. Askofu anasisitiza kwamba kwenda kupiga kura is a wastage of time. Sikiliza mahojiano yake hapa chini. https://www.youtube.com/watch?v=NaZiUuUBAv4
  3. M

    Mifumo ya makampuni

    Viongozi nilikuwa naomba mnisaidie jina la mfumo unaoweza ku tract kila kitu kweny kampuni kuanzia accountung,inventory,sales and purchases ,etc
  4. DAWASA na TARURA warekebisha barabara zilizoharibiwa kutokana na mifumo ya Majitaka Mitaa ya Mbezi Beach

    Mrejesho wa Taarifa ya Jamii Forums Mamlaka ya Majisafi na Usafi wa Mazingira Dar es Salaam (DAWASA), kwa kushirikiana na Mkandarasi wa mradi wa Usafi wa Mazingira Mbezi Beach kampuni ya Beijing Construction Engineering Group Ltd (BCEG) pamoja na Wakala wa Barabara Vijijini na Mijini (TARURA)...
  5. Waziri Silaa: Mfumo wa Anwani za Makazi (NaPA) Unasomana na Mifumo 13 ya Huduma Serikalini

    Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhe. Jerry William Silaa (Mb.), amesema wizara anayoiongoza imefanikiwa kuunganisha Mfumo wa Kidijitali wa Anwani za Makazi (NaPA) na mifumo mingine 13 ya kutolea huduma Serikalini. Waziri Silaa ameitaja baadhi ya mifumo iliyounganishwa na Mfumo wa...
  6. T

    Kusomana kwa mifumo BRELA NA TRA

    Baada ya serikali kuanza utaratibu wa kuhakikisha mifumo yake inasomana kuna utaratibu mzuri unaohakikisha kuwa ukishasajiri kampuni ile namba yako ya usajiri ndiyo namba hiyohiyo kwa ajili ya mlipa kodi. Yaani ni namba hiyohiyo ya TIN Registration kwa sababu mifumo inasomana. Hili ni jambo jema...
  7. Tambua mifumo mikubwa inayofanya watanzania kuendelea kuwa masikini!

    Masikini wataendelea kuwepo lakini ujue masikini ni mtaji wa matajiri. Tajiri kamwe asingependa masikini ajikwamue atoke kwenye umasikini, hivyo mifumo imetengenezwa kuendelea kumfunga masikini ili asione wala kusikia ukweli kuhusu hali yake ya umasiki na akijaribu kujitambua na kupambana...
  8. Mifumo ya Ulinzi wa Anga Yadaiwa Kuidungua Ndege ya Aburia ya Azerbaijan

    Taarifa za awali kutoka vyombo vya habari vya Urusi vimeeleza kuwa kuna dalili kuwa ndege ya abria ya Azerbaijan iliyoanguka ndani ya nchi ya Kazakhstan, ikielekea nchini Urusi, imedunguliwa na mifumo ya ulinzi wa anga ya Urusi. Taarifa zinaeleza kuwa footage ya tukio inaonesha eneo la mkia wa...
  9. Hotuba ya Mkurugenzi Mkuu wa NHIF, Dkt. Irene isaka wakati wa Uzinduzi wa Mifumo na Mpango wa Toto Afya Kadi

    HOTUBA YA MKURUGENZI MKUU DKT. IRENE ISAKA KWENYE UZINDUZI WA MIFUMO NA MPANGO WA TOTO AFYA KADI DODOMA, TAREHE 17 DESEMBA, 2024 Waziri wa Afya na Mgeni Rasmi, Mhe. Jenista Mhagama (Mb), Mwenyekiti wa kamati ya kudumu ya Bunge – Afya na Ukimwi Katibu Mkuu-Wizara ya Afya, Dkt. John Jingu...
  10. K

    SHERIA NA MIFUMO

    SHERIA NA TARATIBU ZA KIMFUMO HAZIANGALII MTU KWA KIGEZO CHA HALI YAKE YA KIUCHUMI AU KICHEO TUKO SAWA Nilisikika huko ndotoni nikiwa nakoroma kukemea maovu na uonevu wa kuwachukulia hatua Mafukara na Watumishi wa Umma huku baadhi ya watu wakilindwa kwenye Vyeo vyao kwa Rushwa zinazonuka...
  11. Waziri Mhagama: Tanzania Inakuja na Mifumo Imara ya Bima ya Afya kwa Wote Nchini

    Waziri wa Afya Mhe. Jenista Mhagamana na ujumbe wake akiwemo Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Afya Bw. Ismail Rumatila, Mganga Mkuu wa Serikali Prof. Tumaini Nagu pamoja na wataalam wengine Desemba 09, 2024 wamefanya ziara ya mafunzo ya jinsi mfumo wa uendeshaji wa masuala ya afya unavyofanya...
  12. Bashungwa Aitaka Jumuiya ya Wahasibu Wakuu Afrika kuweka Mifumo ya Usimamizi wa Fedha za Umma

    Jumuiya ya Wahasibu Wakuu wa nchi za Afrika wametakiwa kuandaa mapendekezo yanayohusu umuhimu wa mifumo madhubuti ya usimamizi wa fedha za umma inayoweza kukabiliana na changamoto zinazojitokeza duniani ikiwa ni pamoja na athari za mabadiliko ya tabianchi, mabadiliko ya kiteknolojia na...
  13. TANESCO yaomba radhi umeme kukatika mara kwa mara Lindi na Mtwara, yasema kuna kazi ya kufunga Mifumo Mipya

    Siku chache baada ya Mwanachama wa JamiiForums.com kuelezea kuhusu kero ya kukatika kwa umeme mara kwa mara Wilayani Masasi Mkoani Lindi, kusoma zaidi bofya hapa ~ Wakazi wa Masasi tuna kero ya umeme kukatika mara kwa mara, tunapata hasara TANESCO shughulikieni hilo , Shirika la Umeme Tanzania...
  14. Wadukuzi wavamia mifumo ya Benki Kuu Uganda na kuiba Mabilioni ya fedha

    Wakuu, Inaonekana huko nchini Uganda masuala ya "hacking" na "cyber security" yamepamba moto mno. Wizara ya Fedha ya Uganda imethibitisha ripoti za vyombo vya habari kuhusu wadukuzi kuvamia mifumo ya Benki Kuu na kuiba fedha, lakini imekanusha madai kuwa kiasi kilichoibwa kilifikia dola...
  15. K

    Maajabu ya Tanzania: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake na ripoti fake

    Yaani Tanzania ni nchi ambayo kila kitu sasa ni fake Maajabu ya TZ: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake, ripoti za Raisi fake na marafiki fake-machawa Je kuna nchi Dunia hii watu wako fake kama Tanzania 1. Tuna mfumo wa Demokrasia ambao serikali ndiyo inaongoza kudidimiza! 2. Ripoti za...
  16. Mifumo ya dunia sio rafiki kwa mwanaume

    YEAH ,mifumo ya dunia haikupi favour wewe mwanaume, huna haki wala mamlaka. Kila siku Natafuta Ajira hua anasema hapa jukwaani kwamba dunia sio rafiki kwa mwanaume hua mnabisha Mfano mzuri mwamba mmoja toka guinea baltazar ,unaona dunia inavomuongelea mwamba kama ni haramia ilihali wanawake...
  17. I

    Mifumo ya ulinzi wa anga ya S-300 ya Iran ilivyo haribiwa na Israel na kuiacha Iran ikiwa uchi kiulinzi

    Katika shambulio la wiki iliyopita dhidi ya Iran, Israel iliharibu mifumo yote ya juu zaidi ya ulinzi wa anga na kuuacha utawala huo "uchi" kwa mujibu wa maafisa. Maafisa wa Marekani na Israel wamesema katika duru mbili za mashambulizi mwaka huu, Israel imeharibu betri zote nne za mifumo ya...
  18. Arusha: Waliotuhumiwa kuingilia Mifumo ya Mawasiliano wasomewa Mashtaka 195

    Washtakiwa 20 wakiwemo raia wanne wa kigeni kutoka mataifa ya Afrika Mashariki wamefikishwa Mahakama ya Hakimu Mkazi Arusha jana na kusomewa mashtaka 195 ikihusisha kesi ya kuongoza genge la uhalifu pamoja na uhujumu uchumi, matumizi ya vifaa vya kielektroniki yaani simu box kuingilia mfumo wa...
  19. Mbunge Mageni: Ajira za 'Connection' zinasababisha mifumo ya Wizi Serikalini, ataka Wakurugenzi, Katibu Tawala wapimwe kwa sifa sio kujaza nafasi

    Mbunge wa Sumve (CCM), Kasalali Mageni, ameelezea wasiwasi wake kuhusu mchakato wa ajira serikalini unaotegemea ‘connection’, akidai kuwa mfumo huu unazalisha watumishi wasiokuwa na sifa zinazostahiki, hivyo kusababisha hasara kwa serikali. "Wengi wanaamini ajira bila connection haipatikani...
  20. Mifumo mitano ya ulinzi wa anga ya Israel inavyofanya kazi

    Israel imetumia mifumo yake ya ulinzi wa anga kukabiliana na mashambulizi ya makombora na droni katika miezi ya hivi karibuni. Imeshambuliwa na Iran, Hezbollah kutoka Lebanon, Hamas kutoka Gaza na waasi wa Houthi nchini Yemen. Marekani imepeleka mfumo wa kukabiliana na makombora ili kuimarisha...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…