miga

  1. R

    MIGA italifilisi taifa. Serikali imsikilize Nguli wa Sheria na Hekima Tundu Lissu

    Nianze kwa kunukuu maneno ya Nabii na Mtume Josefat Mwingira. " He is a victor' you can not conquer a Victor" Tundu ni Mshindi, ona anavyopendwa na kushangiliwa na watu wengi akiwa hana hata chombo chochote cha habari lakini wananchi wanajua alipo na mikutano yake. You can not make him fell...
  2. EMMANUEL JASIRI

    Vituko vya migambo wa jiji la Arusha

    Siku moja Kaka mmoja wa kimasai ,katika harakati zake za kutembeza mikanda ili kuiuza, Alikutana na mteja, akawa akimwonyesha hiyo mikanda bila kuweka chini bidhaa zake, Akaja mgambo akamkamata, Kijana akahoji kosa lake ni nini? Mgambo aka endelea kung'ang'ania zile bidhaa bila maelezo...
  3. Mbase1970

    Tujikumbushe mambo kuhusu mpigania haki za Watanzania na nini kilichotokea kutoka kuwa mwiba kwa MIGA na Wold Bank mpaka kutetea mikataba ya MIGA

    Hapo chini ni habari ya mwaka 2003 kuhusu mapigano makali ya kutetea haki za wananchi takribani 62 waliohofiwa kuuawa na serikali wakati wa kuwanyang'anya maeneo ya wachimbaji wadogo wadogo na kuyapatia makampuni makubwa ya mabeberu na jinsi mwanaharakati mahiri Tundu Lissu alivyopitia...
  4. C

    Acheni kupotosha alichokuwa amesema Tundu Lissu kuhusu Acacia na MIGA

    Wafuasi wa Lumumba ama kwa ile kukosa uelewa, au kwa makusudi tu, since Day 1 wamekuwa wakipotosha ambacho Tundu Lissu aliongea kuhusu MIGA! Au wakati mwingine inawezekana ni kutokana na tabia yetu Watanzania ya kutotafuta ukweli! Binafsi nimekuwa nikilijadili suala la makinikia since Day 1, na...
Back
Top Bottom