Habari ndugu zangu wa jukwaa hili ambalo limekuwa sauti Kwa wasiyo sikika.
Ndugu yenu katika pitapita zangu nikajikuta nimeibukia Wilayani Kilombero Mkoa wa Morogoro, nilichokutana nacho kwa baadhi ya Mama Lishe ni hali ambayo inaweza kuwa hatari sana kwa afya za Watu.
Mama Lishe wa Ifakara...