Vita ipo kwenye rasha rasha. Hiki ni kipindi cha kutanguliza migambo. Kuna migambo wanakufa kuna migambo wanajaribu kusogea.
Jeshi kamili lipo armory linajikoki
Msiwasikilize wanasiasa,
TRA wanatumia migambo kama 10 kwenye kafrem kadogo. Natamani ku attach video ya cctv ila nahisi watanirudia waniite muhujumu uchumi.
Jamaniii sijawahi shuhudia hiyo nguvu hata kama umekutwa unaiba kambi ya jeshi.
Aiseeee jitahidi hawa jamaa wakija uwe una leseni, ni...
Serikali ituangalie kwa nini sisi hatupewi heshima tunayostahili? Na sisi Migambo ni jeshi. Nimeona mara nyingi watu hawatuoni kama sisi ni chombo cha dora.
Sijaelewa kwa nini. Nimekwazika sana leo kondakta kanikomalia nitoe nauli na amemwacha askari asilipe. Mimi kanikomalia kinyama mpka kuna...
Siku moja Kaka mmoja wa kimasai ,katika harakati zake za kutembeza mikanda ili kuiuza,
Alikutana na mteja, akawa akimwonyesha hiyo mikanda bila kuweka chini bidhaa zake,
Akaja mgambo akamkamata,
Kijana akahoji kosa lake ni nini?
Mgambo aka endelea kung'ang'ania zile bidhaa bila maelezo...
Mapigano yameibuka Mikocheni eneo la Viwandani
Barabara ya Siwa Jijini Dar es Salaam baina ya raia wawili na Mgambo ambao walikuwa wakitekeleza zoezi la kuwaondoa wafanyabiashara ambao wamesalia katika maeneo yasiyo rasmi ambapo chanzo cha mapigano hayo kinadaiwa kuwa raia hao wawili walikuwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.