Wanafanyisha kazi kwa makubaliano ya baada ya miezi minne wanapofikisha miezi hiyo wanaishia kudhulumiwa na hawana pa kulalamika.
Hawa vijana ni watanzania na wanajitafutia ridhiki ili wajikimu kimaisha. Huu ni uonevu na dhuluma kwa kweli.
Uongozi husika waangalieni hawa wamiliki wa migodi.
Sikuwa nafahamu kwamba huyu Tundu Lissu ana Ushawishi Mkubwa namna hii sio tu leo ambapo tunamuona kwenye Jukwaa la Siasa bali kazi ya kutetea Nchi, Taifa na Wanachi wake ameianza Zamani ktk Ujana wake woote.
Kwamba Tundu Lissu anaweza kuwa na Influence kwenye Tasisi kubwa kama baraza la Taifa...
Katika uchenjuaji wa dhahabu wawekezaji wengi hulia kwa kuwekeza fedha nyingi nakupata faida kidogo au hasara.
Changamoto hii hutokana na uzembe wa mkemia aliekabidhiwa kwani wengi wao hufanya kazi kwakuangalia masilahi yao binafsi na sio bosi hivyo wengi hukosa kutoa ushauri mzuri kwa bosi na...
Wakuu kama unajiona una mtaji kuanzia m2 hivi njoo nikusaidie ujipatie eneo la mgodi ujiingizie m3 hadi nne kwa siku hiyo ni baada ya kuwekeza ndani ya mwezi mmoja
Kikubwa ambacho nitakusaidia kukuunganisha na ml mwenye eneo atakupa eneo kwa makubaliano haya 3% ya faida utayopata itaenda kwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.