Makamu Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Bara, Tundu Lissu, amesema kuwa pamoja na kuwa na urafiki wa muda mrefu na Kada wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Mchungaji Peter Msigwa, kwa sasa hawezi kumkwepa kumkabili kisiasa, kwani Msigwa amehamia chama pinzani na si mwanachama...
Huo ndio ukweli, Chama wakiachiwa hawa kina Lissu ni suala la muda tu, chalii
Chama cha siasa kinahitaji mtu mwenye historia ya kuwa sehemu ya watu waliowahi kuwa kwenye oligarchy ya Tanzania
Oligarchy ni hawa watu wachache wanaohusika / very connected na uongozi wa juu, mfano marais...
People's power! Bila shaka Mh. Tundu Lissu ni mzima wa afya njema. Pole na kulipigania hili pendwa taifa hili. Mwanasiasa mwenye msimamo mikali zaidi Tanzania, mzalendo namba moja Tanzania, mwanaharakati hatari zaidi Afrika, yote, mpigia nia haki zaidi Tanzania, mwasiasa ulie nyooooka, huna...
Mwenyekiti wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) Mkoa wa Kigoma, Rajabu Mfaume Bujoro, agomewa na wenyeviti wa wilaya na majimbo kwenye ajenda ya kupinga maamuzi ya kanda ya Magharibi, kuhusu kuthibitishwa kwa katibu wa chama hiko Mkoa wa Kigoma kwa mujibu wa katiba ya CHADEMA.
Tukio...
Haifahamiki inatetea nini kwa sasa, na kiongozi wake ni nani kwa sasa.
Haijulikani mikutano inayoendelea kwa sasa ina baraka na inagharamiwa na chama au ni mikutano ya mtu binafsi tu.
Uelekeo wala dhima ya mikutano yenyewe haifahamiki ni nini, maana ni story na porojo tu za pata potea mwanzo...
Tulioshuhudia NCCR ikisambaratika kama tikiti maji lililotupwa kutoka ghorofa ya 50, sasa, kwa macho yao, watashuhudia anguko la chadema.
Chama hicho ambacho kinajinasibu kwa kula rushwa, kimejikuta kikining'inia kwenye uzi mwembamba, na ni dhahiri kitapasuka.
Pia soma
CHADEMA itaingia...
Ni mtifuano mkali Ukurasani X Kati ya Mchungaji Msigwa na Chawa wa Mbowe Martin Maranja.
Mashambuliano hayo, kebehi, kejeli na kudharauliana kunaonyesha jinsi CHADEMA ilivyosheheni wahuni.
Chonde chonde Katibu mkuu Mnyika hebu ingilia kati nidhamu na kuheshimiwa a kurejee ndani ya chama
Ni...
1. Mwenyekiti yupo kimya anaonekana kwenye makongamano tuu ya TCD na aina iyo. Hakuna kauli yoyote toka Kamati Kuu ikae
2. Makamu Mwenyekiti anafanya mikutano peke yake (sio kitaasisi) huku akiendelea kupitisha bakuli la kununua shangingi. Kajikita singida kwao. Je, anataka kuanzisha Chama...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.