migogoro katika ndoa

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. T

    Mwanaume; Kuna wakati muambie Mmke wako kwaheri, ukubali kuwa yameisha!

    Mwanaume, nikukumbushe tu, kiasili hatujaumbwa kuvumilia, yaani ile hisia ya uvumilivu tunakuwa hatuna kabisa, ndiyo tulivyoumbwa. Kama ukishaona mke wako anaanza kukufanyia dharau, iwe ni sababu ya kipato au kwa sababu tu anaona ameshakuzoea, kama mke wako umeshaanza kukufumania na wanaume...
  2. tang'ana

    Baadhi ya wanawake wana mambo ya ovyo. Ebu mnishauri cha kufanya hapa kabla sijaushangaza ulimwengu

    Hivi hawa wanawake zetu huwa hata wanatuonea huruma kweli jinsi tunavyowahangaikia wao waishi vizuri? Huwa sina kawaida ya kushika simu yake ila sijui nini usiku huu kimenituma niishike na kuikagua. Na hiki ndicho nilichokikuta. Sijamsemesha chochote mpaka sasa niko macho tu natafakari. Alikuwa...
  3. DeepPond

    Nini Sababu: Mume amehama ghafla na kwenda kupanga bila ugomvi wala maelezo yoyote

    Wakuu, Huyu jamaa ni jirani yangu haswa, yaani tunashare upande mmoja WA ukuta wa fensi,shughuli nyingi za kifamilia Huwa anashiriki vizuri Sana, migogoro pia anakuja kusuluhisa na kunishauri pia. Japo Kwa ndoa yake niliamini Ni ndoa iliyokamilika haswa maana tangu miaka yote tuishi hapa...
  4. Baba Dayana

    Jamaa yangu alimtafuta mrembo wa kula naye bata bila kujua aliyekuja alikuwa ni mkewe!

    Mambo vipi Wana jamii....? Ebana katika jamii tuliyopo kuna mambo huwa yanaumiza sana. Iko hivi Jana tareh 28/01/2025 mida ya saa mbili usiku mshkaji wangu Mmoja tuliyekutana kwenye harakati za hapa na pale alinicheki tukapata japo Moja baridi Moja moto namaanisha ule mlima mrefu kuliko yote...
  5. H

    Mume anataka kumuacha mke kisa kumpeleka mtoto shule na ex wake

    wadau huyu Dada tumshauri nn? Mume wangu anataka kuniacha kwa kumpeleka Mtoto shule Mimi na X ambaye tulizaa kabla ya ndoa! Mimi ni mama wa watoto 3. Mtoto wangu wa kwanza nilizaa na mwanaume mwingine ambaye tulikuwa kwenye mahusiano lakini alikuja kuoa mwanamke mwingine. Mwanzo mimi na yeye...
  6. Metronidazole 400mg

    Faida za kununiana na mpenzi wako katika ndoa au mahusiano

    Mapenzi Yana wigo mpana mno ambao mtu anapaswa kuangalia kwa jicho Pana na akili pembuzi kabla ya kuingia, Namaanisha kwamba ni lazima kuchunguza kina Cha maji kabla ya kuzama, Sasa basi, zifuatazo ni FAIDA Tano (5) utakazo zipata ukiwa umenuniana na mpenzi WAKO.....twende kazi!!! 1. HUSAIDIA...
  7. D

    Mke amehama chumba tulichokuwa tukilala pamoja

    Habari wakuu, Naombeni ushuri maana ni week ya tatu sasa toka mke wangu amehama chumba chetu na kuhamia kwa watoto. Sababu ya yeye kuhama ni kutokuelewana ambako binafsi naamini ni kwa kawaida ndani ya nyumba Ni mke wangu wa NDOA ya kanisani kabisa na kwa kuwa naye ananishughulisha basi hata...
Back
Top Bottom