Watu wawili ambao ni mke na mume wamefariki dunia baada ya mume kudaiwa kumuua mkewe kisha naye kujiua katika Kijiji cha Njirii Halmashauri ya Itigi wilayani Manyoni Mkoani Singida huku chanzo kikidaiwa kuwa ni ugomvi wa kifamilia.
Imeelezwa kuwa marehemu Janeth Stephano(36) alikutwa kitandani...
Wapendwa nawatisha la hasha nawaweka haya kukusaidia wewe unaekaribia kuoa ndoa ni taasisi kama taasisi zingine unapoingia jifunze kwanza kukoje je faida na hasara ni zipi
Kwanza nitaweza kuvumilia ama lah
Natoka kikao kimoja cha wanandoa kwa mjumbe bahati n mjumbe msaidizi na niko kwenye...
Nianze kea kuwapa pole wote mnaoteseka na maisha ya ndoa,
Pia natoa pongezi kwa yeyote alie single kea kusema hongera 👋👋👋
Niliishi maisha ya ndoa KABLA ya kurejea katika ubachela tena ndio maana napinga maisha ya ndoa kwa visa na vitimbi nilivyokumbana navyo
Niliteseka sana ku hustle lili...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.