Nianze kea kuwapa pole wote mnaoteseka na maisha ya ndoa,
Pia natoa pongezi kwa yeyote alie single kea kusema hongera πππ
Niliishi maisha ya ndoa KABLA ya kurejea katika ubachela tena ndio maana napinga maisha ya ndoa kwa visa na vitimbi nilivyokumbana navyo
Niliteseka sana ku hustle lili...