migogoro wakulima na wafugaji

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. The Watchman

    Mkulima akimbia baada ya kumuona DC, ni baada ya kupanda mahindi eneo lisiloruhusiwa kwa kilimo

    "Anajua hili eneo halitakiwi kufanywa shughuli za kilimo"- Remidius Mwema, Mkuu wa Wilaya ya Kiteto ==== Mamlaka zilikuwa wapi mpaka mtu anaandaa shamba lenye ukubwa ambao hawezi kulianda kwa siku moja mpaka anapanda mahindi hadi yanaota ndiyo wanataka kuja kudhibiti, alikuwa akilima na kupanda...
  2. Madam Ritha Massawe

    Ufugaji wa kuku

    🐓S&Q_GROUP_INTERNATIONAL LIMITED🐓 AGIZA NASI VIFARANGA BORA KWA VIWANGO VYA KIMATAIFA 0781647066 ____________________________________________ 📠☎️ 0781647066 WAZALISHAJI WAUZAJI NA WASAMBAZAJI WA VIFARANGA BORA VYA KUKU WA NYAMA PAMOJA NA KUKU WA MAYAI...
  3. Josephat Masanja Jerry

    SoC03 Chozi la mkulima na mfugaji ni laana kwa vizazi vijavyo

    Picha; The chanzo. UTANGULIZI Nchi zote duniani ikiwemo Tanzania, hofu ya ustawi wa maliasili inazidi kuongezeka kutokana na wimbi la ongezeko la watu duniani na changamoto ya mabadiliko ya tabia nchi. Inakadiliwa kuwa ifikapo mwaka 2050, Tanzania itakuwa nchi ya tatu kwa wingi wa watu Afrika...
  4. Ojuolegbha

    Mikakati ya kumaliza migogoro ya Wakulima na wafugaji Kilosa

    "Tumejipanga na tunakuja na mkakati kabambe kumaliza Migogoro ya wakulima na wafugaji, nataka tuandike pamoja historia ya kumaliza kabisa changamoto ya migogoro hii Kilosa. Namimi nikiwa mwenyekiti wa kamati ya ulinzi na usalama wa wilaya hii nitaanza na watendaji ndani ya serikali ambao ni...
  5. J

    IGP Sirro: Nimeumia sana kuwasikia Wanafunzi wakiniambia hawajaenda shule kwa sababu wanaogopa kuuawa na Wamasai hapa Kilindi

    IGP Sirro amefanya ukaguzi wa kushtukiza wilayani Kilindi ambako wananchi sita wameuawa katika mapigano kati ya Wakulima na wafugaji. Sirro amesema alijisikua maumivu moyoni baada ya kuelezwa na wanafunzi kuwa wameshindwa kwenda shule wakihofia kuuliwa na wamasai. IGP Sirro ameahidi kupeleka...
  6. N

    Mgogoro wa wafugaji nchini imeshamiri sana

    Daah kwa kweli siku hzi wafugaji na wakulima kuna migogoro mbalimbali hutokea Kila siku. Mifugo kula mazao ya wakulima inapelekea migogoro mbalimbali hata vifo pia. Tutafanya nin ili kupunguza mogogoro na vifo hivyo?
Back
Top Bottom