migogoro ya ardhi vijibweni

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. A

    KERO Mwenyekiti wa Serikali ya Mitaa Vijibweni Kigamboni anauza kiholela hifadhi ya barabara na kusababisha migogoro ya ardhi

    Eneo la Vijibweni kumeongezeka migogoro ya ardhi kwa kuwa mwenyekiti wa Serikali anauza maeneo ya hifadhi ya barabara akishirikiana na kikundi cha wajanja. Na kumekuwa na malalamiko mengi juu ya huyo Mwenyekiti wa Serikali ya Mitaa na kila anapofuatwa yeye hukimbia ofisi na kutokomea mara kwa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…