Sisi tumezaliwa wa4
Bahati mbaya wazazi wamefariki na wakatuachiia nyumba 5...!
Wa3 kati yetu kila mtu ana maisha yake ila mmoja yupo kwenye nyumba mojawapo huku zingine tumepangisha
Sasa hapa juzi kati tumepiga dili la kama milioni 5 hivi na wakati tunasubiri dili likae tulikubaliana kuwa...
Kesi ya Mwanamke aitwae Sarah Boone (46) wa Florida Nchini Marekani anayetuhumiwa kwa kusababisha kifo cha Mpenzi wake ( Jorge Torres 42) kwa kumfungia kwenye sanduku la nguo na kumsababishia kukosa hewa kulikosababisha kifo chake mwaka 2020, inatarajiwa kusikilizwa wiki ijayo baada ya kusogezwa...
HEKIMA ITUMIKE KUTATUA MIGOGORO YA FAMILIA: NAIBU WAZIRI PINDA
Na. Joel Magese, ROMBO
Naibu Waziri wa Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mhe. Geophrey Pinda amewataka Watanzania kutumia hekima katika kupata suluhisho la migongano ya kifamilia inayohusu ardhi kabla ya kufika mbele ya vyombo...
Polisi wameshindwa kufukua mwili unaodaiwa kuzikwa kimakosa katika kitongoji cha Dungi, Kijiji cha Kibosho Kindi, Wilaya ya Moshi, baada ya ndugu kudai hawana taarifa hiyo na kutaka waonyeshwe kibali cha kuwaruhusu kufanya hivyo.
Mwili huo unaodaiwa kuwa wa Richard Shoo, aliyefariki dunia Juni...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.