Msongo wa mawazo ni hali ya mfadhaiko wa kiakili ambao hujitokeza ghafla pale ambapo mtu anapokuwa na shida, tatizo,au kikwazo chochote ambacho hana uwezo wa kukabiliana nacho.Uwezo wa kukabiliana na kikwazo hicho unaweza kuwa uwezo wa kifedha, kiafya, kielimu,nguvu ya mwili katika kukabiliana...