Wadau hamjamboni nyote?
Taarifa za muda huu ndege za kijeshi za Israel limetanda na kuzunguka kwa Kasi ya kimbunga juu ya anga la Beirut ambayo ni mjii Mkuu wa Lebanon.
Ndege hizo zimezusha taharuki kubwa kwa wakazi wa maeneo hayo huku wakihofia maisha yao na pia kwa sababu ya kelele kubwa za...
Marekani yasema kufuatia viashiria vya Amani kutoweka Mashariki ya Kati imelazimika kubadili Vifaa, Mikakati na Mbinu za Ulinzi Ili kulinda Israel.
Mabadiliko hayo yanahusu kupeleka vikosi hatari zaidi vya Kijeshi. Hata yanafuatia tishio la Ayatollah Khamenei anayejipanga kuishushia Kitu kizito...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.