Nimeoa Ndoa ya Kikristo ndoa ina miaka 4 na nina mtoto mmoja tumejenga ila mke wangu ameninunia now miez 7 navumilia tu hata sijui mwisho wake.
Anasema hanipendi, upendo umeisha kwangu. Sababu kuna makosa nayarudia mara kwa mara kwamba anaona kama simpendi ,na makosa mengine ya zaman hata kabla...
Nimekuwa nikitafakari kwa muda mrefu kuhusu hali ya ndoa yangu, na kwa huzuni kubwa nataka kueleza uamuzi wangu wa kutaka tuacha na mke wangu Nimefikia hatua hii kwa sababu zifuatazo:
Kuhusiana na unyumba: Nimegundua kwamba mke wangu anatumia unyumba kama silaha ya kunikomoa pale ninapokuwa...
Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex,
Je huyo mwanamke utaendelea kuwa nae kwenye ndoa au utaachana nae,?
Naombeni majibu wakongwe.
Kaka naomba unisaidie nifanye nini, ni binti wa miaka 30, nimeolewa ndoa yangu ina mwaka sasa. Kuna mwanaume mwingine niko naye, ni mume wa mtu ila ndiyo mwanaume wangu na nampenda sana hakuna namna naweza kumuacha, nilikua naye kabla ya ndoa na niliolewa tu kwakua nyumbani walikua wananipigia...
Wakuu
Mmesikia kuwa Wanawake wenye kipato kizuri wamekuwa chanzo cha migogoro ya ndoa, kwani wanakosa heshima kwa wenza wao na hata kushindwa kushiriki tendo la ndoa.
===
Jukwaa la wanaharakati wa kupambana na ukatili wa kijinsia mkoani Kilimanjaro, limefichua siri kuwa migogoro mingi ya ndoa...
Wivu wivu wivu wa mapenzi unazidi kutoa roho za watu wengi waliopo kwenye mahusiano ya kimapenzi jamani.
=====================
Jeshi la Polisi mkoani Njombe linamshikilia Castory Abusalam Kindole mwenye umri wa miaka 48 mkazi wa Kijiji cha Idindilimunyo wilayani Wanging’ombe kwa tuhuma za...
Wanajukwaa mko pouwa? Nimeamua kuleta hii mada kutokana na adha wanazopitia baadhi ya wanandoa au wachumba wanaofikia hatua ya kuachana kutokana na changamoto za uzazi unakuta kunakuwa na kushutumiana baina ya watu walio katika uchumba au ndoa inapotokea wamechelewa kupata mtoto bila kufanya...
Hivi mwanamke akiwa na mimba ya miezi miwili inampelekea kubadilika kabisa maana mimi mke wangu kabidilika sana yaani mpaka imefikia hatua ya kutaka kumuacha.
Hakuna ndoa isiyo na mitihani na mikwaruzano. Kinachovunja ndoa nyingi ni mke au mume kuwa kispika cha kueleza changamoto za mwenzi wake kwa ndugu na jamaa bila kujali wakati sahihi wa kufanya hivyo.
Akisahau hata huko anakokwenda kutafuta msaada nako huenda moto unawaka zaidi kuliko ndani ya...
Tanzania Mpya ndani ya Miaka Mitano hadi Ishirini na tano ijayo: Kupunguza migogoro ya Ndoa na Kesi za Mirathi.
(Picha kutoka Mtandaoni)
Miaka ya hivi Karibuni katika Mitandao ya kijamii kuliandikwa visa vingi sana vikihusisha baadhi ya wanawake waliokua ndani ya ndoa kushindwa kesi...
Wakuu , hawa Wanawake kutoka kanda ya ziwa sio Poa kabisa aisee wanaweza kukuvunja miguu hivi hivi Kama mwanaume Ukiwa dhaifu aisee hatari Sana hawa Wanawake kutoka kanda Hii Jana nusura nivunjwe miguu na mke wangu baada kukuta Meseji kwenye simu yangu.
Mke wangu nilimuomba msamaha kwa kumpigia...
Wanajukwaa mko pouwa.
Leo hebu tubadilishane uzoefu.Kama tujuavyo kwamba Dunia ipo pamoja na mazuri yaliyomo ila changamoto zipo pia.
Kuna hii changamoto ya kupata mtoto ,Unakuta mke kaolewa kwenye boma
flani alafu linapokuja swala la kupata mtoto inakuwa changamoto.
Je, inapotokea kwamba...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.