Habari zenu naomba kuuliza hivi ikitokea umeoa mke wa ndoa, siku ukafuma SMS na jamaa wakiwa wanatongozana na mkeo akaonekana kumkubalia mwamba japo hawajasex,
Je huyo mwanamke utaendelea kuwa nae kwenye ndoa au utaachana nae,?
Naombeni majibu wakongwe.