Yanga wanachofanya ni kutafuta milage tu hamna cha kesi wala nini, kila kitu wamekipanga ili kufanya hamasa ya siku ya mwananchi na haya hayajatokea kwa bahati mbaya.
Siku watanzania tukiyaekewa haya wasanii na wanamichezo wataacha kutengeneza kiki, watafocus na kazi kwa weledi.
Soma=> Simon...