migogoro

  1. N

    SoC04 Sera ya Elimu itakayowezesha wanafunzi kujifunza namna ya kujenga amani na maadili ili kupunguza vitendo vya ukatili na migogoro ndani ya jamii

    Katika karne ya 21 ni vigumu kuendana na mabadiliko ya ulimwengu bila kuhitimisha kwamba kuna haja ya elimu iliyoboreshwa zaidi ili kuwatayarisha raia wote kushughulikia matatizo mengi yanayowakabili watanzania. Masuala mengi sana yanayoikabili nchi hii hayawezi kutatuliwa isipokuwa kuwa na...
  2. Mbunge Edward Ole Lekaita Atoa Darasa la Sheria Kuhusu Kutatua Migogoro ya Ardhi Nchini

    MBUNGE EDWARD OLE LEKAITA ATOA DARASA LA SHERIA KUHUSU MIGOGORO YA ARDHI NCHINI "Mhe. Jerry Silaa tangu umeteuliwa umefanya kazi kubwa hasa kupitia Kliniki ya Ardhi, endelea hivyo hivyo kwani matarajio ya Mheshimiwa Rais na wananchi walio wengi wanataka migogoro ya Ardhi iishe na tuwasikilize...
  3. A

    KERO Demokrasia, Rushwa na ushiriki wa chama cha siasa kwenye serikali ya wanafunzi - kuna shida Mzumbe!

    Mimi ni mmoja wa wanafunzi wa chuo kikuu MZUMBE, Ndaki Kuu (Morogoro). Nalalamikia namna ambavyo serikali ya wanafunzi, ambayo kwa mujibu wa sheria za Nchi - universities Act, Mzumbe Charter na Katiba ya Serikali ya wanafunzi chuo Kikuu Mzumbe haviruhusu Shughuli ama kufungamana na vyama vya...
  4. Tauhida Gallos Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini

    MHE. TAUHIDA GALLOS Aitaka Serikali Kuwa na Mkakati Maalum Kunusuru Watoto Dhidi ya Migogoro ya Ndoa Nchini "Wizara imeandaa muongozo wa Taifa wa uendeshaji, usimamizi na uratibu wa Mabaraza ya usuluhishi wa migogoro ya ndoa wa mwaka 2023, Mei ambao umebainisha afua ya kuwajengea wajumbe wa...
  5. Waziri Mchengerwa: Nitavunja Mabaraza ya Serikali za mitaa yenye mivutano

    Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa, Mohamed Mchengerwa amesema atavunja mabaraza ya madiwani yenye mivutano inayokwamisha maendeleo ya wananchi. Waziri Mchengerwa ametoa kauli hiyo wakati wa kukagua ujenzi wa Hospitali ya Wilaya inayojengwa Kata ya Kibelege...
  6. MBUNGE WA MBOGWE, Mhe. Nicodemas Henry Maganga Amtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Kufika Mbogwe Kutatua Migogoro ya Ardhi

    MBUNGE WA MBOGWE, Mhe. Nicodemas Henry Maganga Amtaka Naibu Waziri wa Maliasili na Utalii Kufika Mbogwe Kutatua Migogoro ya Ardhi "Kupitia Kamati ya Mawaziri Nane (08) wanaoshughulikia utatuzi wa migogoro ya vijiji 975, hifadhi ya Msitu wa vilima vya Mkweni haiikuwa kwenye orodha ya Misitu...
  7. SoC04 Serikali ianzishe wizara maalumu ya saikolojia na utatuzi wa migogoro ili kuzipunguzia wizara zingine mzigo wa kushughulikia migogoro

    Bwana Yesu ASIFIWE .... Assalamualaikum...... Serikali ianzishe wizara maalumu ya saikolojia na utatuzi wa migogoro ili kuzipunguzia wizara zingine mzigo wa kushughulikia migogoro Kwanza nianze kwa kuwashukuru Jforum kwa kuendelea kuwa wabunifu kwa kuweka majukwaa mbalimbali yanayoibua mawazo...
  8. Mtu akifa anatakiwa azikwe wapi? Migogoro ya kuzika maiti

    MTU AKIFA ANATAKIWA AZIKWE WAPI? MIGOGORO YA KUZIKA MAITI. Anaandika, Robert Heriel Mtibeli Mwezi Aprili nilifiwa na Bibi yangu kipenzi ambaye ndiye aliyenilea, kwangu alikuwa kama Mama. Nilijifunza mengi kupitia yeye, madhaifu na ubora wake. Mazuri na mabaya yake. Maziko ya Bibi yangu...
  9. G

    Moja ya mambo yanayochangia migogoro kwenye ndoa nyingi ni wanaume kuingia kwenye ndoa wakitarajia wake zao kuwasaidia majukumu yao

    Naamini kuna mambo mengi yanayochangia migogogoro na kuvunjika kwa ndoa nyingi kwa wakati huu Ila Naomba nielezee hii sababu majawapo ambayo ni Wanaume wengi au vijana pengine niwaite wavulana kuingia kwenye ndoa wakidhani wanawake wao watawasaidia baadhi ya majukumu na wengine wajinga...
  10. Serikali Yaahidi Kuchukua Hatua Kali za Kisheria kwa Mabaraza Yanayofanya Maamuzi ya Migogoro ya Ardhi kwa Mienendo ya Rushwa

    SERIKALI YAAHIDI KUCHUKUA HATUA KALI ZA KISHERIA KWA MABARAZA YANAYOFANYA MAAMUZI YA MIGOGORO YA ARDHI KWA MIENENDO YA RUSHWA "Lini Serikali itahamisha Mabaraza ya Ardhi kwenda kwenye mfuko wa Mahakama?" - Mhe. Jafari Chege Wambura, Mbunge wa Jimbo la Rorya "Katika jitihada za kuboresha mfumo...
  11. G

    Vijana mnaotafutana kwa kukaribiana umri mnakosea sana, inachangia sana migogoro. Sijutii kufanya maamuzi ya kuoa kwa gap la miaka 10

    Binafsi nilioa nikiwa na 28 mke wangu muda huo akiwa na 18, Kwa sasa naenda 36 mwenzangu yupo 26 kumekuwa na pattern kubwa ya vijana kutafutana waoane kwa kigezo cha kukaribiana ama kulingana umri. Sababu kuu huwa ni "nioe binti mdogo tutaongea nae nini" Niwajuze tu kwamba kwenye ndoa ni...
  12. R

    Jerry Silaa, migogoro ardhi inatokana na watumishi wa idara ya ardhi. As long as hujawagusa, tatizo litabaki kuwa kubwa

    Unafanya kazi nzuri, nimeona Tanga katika kesi mbili ulizozimaliza. Kesi ya Tahameed moja kwa moja kuna collusion ya watendaji wa idara ya ardhi. Wanarekodi zote, haiwezekani Tahameed akajua kuwa kiwanja fulani hakina mtu. Ni kuwa wanacollude na idara ya ardhi na kufanya uhalifu huo. 1...
  13. P

    Je, kuna siasa katika utatutizi wa migogoro ya ardhi unaofanywa na Jerry Silaa?

    Mimi ni muumini wa watu wote wabunifu wanaopanga kutatua kero za wananchi. Waziri Slaa anaonekana kuwa mbunifu baada ya kuja na clinic za kutatua kero za migogoro ya ardhi. Jana akiwa Mbeya alionekana akitoa maamuzi ya mgogoro wa mtu anayeonekana ni Mchina ambaye kwa mujibu wa Waziri watu...
  14. M

    Serikali haraka fungeni mipaka chakula kisiuzwe nje, machafuko na migogoro ya kivita viwape ari hiyo

    Wakuu, Dunia ya leo ni migogoro na vita sehemu mbalimbali, hivo wakati huu wa mavuno mazao kama mchele, mahindi, maharagwe na nafaka nyingine haraka sana yazuiwe maana sio muda tutaanza kulia njaa. Nchi nyingi kwa sasa wamefunga mipaka yao hakuna chakula kutoka kwani usalama na utulivu wa...
  15. Waziri Mavunde Aainisha Mikakati ya Kumaliza Migogoro Mirerani

    WAZIRI MAVUNDE AAINISHA MIKAKATI YA KUMALIZA MIGOGORO MIRERANI -Serikali yarusha ndege ya Utafiti ndani na nje ya ukuta kupata kupata viashiria vya mwamba wa madini -Taarifa za utafiti kusaidia kuwaongoza vizuri wachimbaji -Atoa tuzo kwa wachimbaji wanaorudisha kwa jamii(CSR) -Aongoza futari...
  16. Waziri Silaa awajibu wanaosema anaingilia mahakama kutatua migogoro ya ardhi

    Baada ya Waziri wa Ardhi na Maendeleo ya Makazi, Jerry Silaa kuonesha mwanga katika utatuzi wa migogoro ya ardhi, kuna waliodai kuwa anafanya kazi ambayo ingefanywa na mahakama yenye jukumu la kutafsiri sheria hivyo anachofanya ni sawa na kazi bure. Hivyo kumtaka kuanzia mahakamani katika...
  17. Nani ni sababu ya migogoro kati ya mwanamke na mwanaume?

    Nani ni sababu ya migogoro kati ya mwanamke na mwanaume? Je, yawezekana kuishi katika mahusiano bila kupishana kabisa?
  18. Rais Samia: Baadhi ya Madiwani wanahusika katika kusababisha Migogoro ya Ardhi

    Rais Samia Suluhu Hassan amesema baadhi ya Viongozi wakiwemo Madiwani wa Halmashauri mbalimbali wamekuwa na utaratibu wa kuanzisha Vijiji kwa lengo la kujinufaisha kwenye masuala ya Uchaguzi, hali inayochangia kuibuka kwa migogoro ya Ardhi Akizungumza baada ya kuapishwa kwa Viongozi aliowateua...
  19. Umoja wa Mataifa wasema Mzozo wa DR Congo unapuuzwa kuliko migogoro yote duniani

    Mratibu Mkazi na Misaada ya Kibinadamu wa Umoja wa Mataifa (UN), Bruno Lemarquis, amesema Mgogoro unaoendelea nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo, ni kati ya matatizo makubwa, magumu, ya muda mrefu na yanayopuuzwa zaidi duniani. Pia, UN imeonya kuwa hali ya Kibinadamu katika eneo la...
  20. Zitto ahofia migogoro ya Ardhi kusababisha vita vya wenyewe kwa wenyewe

    "Migogoro ya ardhi na migogoro ya mipaka kati ya hifadhi na vijiji, maeno ya Kusini mwa Tanzania tumekuta malalamiko makubwa ya wakulima dhidi ya wafugaji kuvamia maeneo yao na hata kupelekea mauaji, vilevile maeneo ya wafugaji tumekutana na malalamiko ya wananchi kuporwa mifugo yao na Maafisa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…