Katika hotuba ya Rais Samia Suluhu leo amegusia suala la migogoro la ardhi amesema kuwa:
"Wakati wananchi wanavamia maeneo, wanasiasa hatuwaambii wananchi ukweli, tunawaangalia wakivamia na badala yake tunakuja kusimama kutetea wavamizi wa maeneo yale [..] lengo ni kupata kura huko baadaye...