Hivi ni kweli kwamba migogoro ya ardhi baina ya wakulima na wafugaji sasa imeisha,au labda vyombo vya habari vinaogopa kureport kwakua rais alisha piga mkwala kwamba vina uhuru "but not to that extent".
Kama bado ipo na vyombo vya habari vinaogopa kureport nini hatima yake na kama kweli...