Ukitumia jicho la tatu utagundua kwamba aina ya misukosuko wanayopitia ndugu zetu inawakomaza sana.
Yaani ukiwa kiongozi wa hiyo jamii haikupi muda hata wa kuhudhuria matamasha hadi kuwaita wanyama majina ya watu.
Hali hiyo inawafanya raia wao wawe majasiri washindani na wenye uthubutu mkubwa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.