miguel gamondi

Miguel Ángel Gamondi (born 1 December 1963) is an Argentine football manager and former player who manages Tanzanian club Young Africans.

View More On Wikipedia.org
  1. F

    Uwamuzi wa kumfukuza Miguel Gamondi ulikuwa wa kukurupuka!

    Watanzania ni watu ajabu ajabu sana! Hatuna uvumilivu ,ni watu wa papara, majungu na fitina sana! Kufungwa mechi mbili tu unamfukuza Kocha! Manara naye mtu wa fitina na Unafiki sana! Kisa Gamondi asalimiani naye , wamefanya fitina Hadi wakamfukuza. Mnamfukuza Kocha aliyekwisha Jenga kikosi...
  2. Waufukweni

    Tetesi: Miguel Gamondi atajwa kutua Singida Big Stars kurithi mikoba ya Patrick Aussems aliyefurushwa

    Klabu ya Singida Black Stars imewasimamisha makocha wake wawili, Patrick Aussems na msaidizi wake Dennis Kitambi kutokana na matokeo mabaya, huku ikidaiwa kumwania Miguel Gamondi aliyeachana na Yanga hivi karibuni. Leo asubuhi Singida ilitoka sare ya mabao 2-2 na Tabora United kwenye Uwanja wa...
  3. M

    Kufukuzwa kwa Miguel Gamondi : Natangaza waziwazi kurudisha kadi yangu ya Uwanachama wa Young Africans

    Uzi usiwe mreeeeefu. Nimeamua rasmi kuacha kuishabikia Yanga na hivi sasa naachana na iliyokuwa kadi yangu ya uwanachama wa klabu ya Yanga. Haya ni maamuzi magumu ninayoyachukua kama ambavyo msomali na genge lake la waarabu walivyoamua kuinajisi klabu yetu na kuifanya kuwa mali ya familia...
  4. Influenza

    Rasmi: Yanga yavunja Mkataba na Gamondi

    TAARIFA KWA UMMA Uongozi wa Young Africans Sports Club unapenda kuutarifu umma kuwa umevunja mkataba na Kocha Mkuu wa kikosi cha kwanza, Angel Miguel Gamondi. Vilevile, Uongozi wa Young Africans Sports Club, umesitisha mkataba wa kocha msaidizi wa kikosi cha kwanza, Moussa Ndaw. Uongozi wa...
  5. Revola

    Watu wengi wanadhani sababu ya Gamondi kufurushwa Yanga ni kupoteza michezo miwili dhidi ya Tabora na Azam

    Naona watu wengi Instagram, X na JF wanamlaumu injinia na kumuona mpumbavu kwa kumfukuza kocha Gamondi. Kwanza Rais ana jopo la uongozi ambalo anashirikiana nalo kufanya maamuzi ya timu. Kuna watu wanafikia kusema "nilikuwa namuona injinia smart ila kumbe mpumbavu" bila kujua kiini cha tatizo...
  6. GENTAMYCINE

    Kocha Gamondi wala hana shida ila mlimpa Jeuri na kuaminisha Watu kuwa ni Bonge la Kocha ila baada ya kushtukiwa Mchezo wenu wa dawa mmemtema

    Ukweli ni kwamba Kocha Gamondi wala hakuwa na Uwezo huo ambao tokea mmempa Kazi Yanga SC mlikuwa mkimpa hadi kumuita Profesa ila mlimkuza Kiuongo na Kweli aonekane anafanya vyema ila huku nyuma mlikuwa mkitumia Dawa za Kuongeza Nguvu kupitia Sindano na baada ya Kushtukiwa kwa Watu wa Azam Media...
  7. Mowwo

    Takwimu za Miguel Gamondi akiwa Yanga

    Wakuu mpo Mimi ni mmoja wa walioshtushwa na kufukuzwa kwa Miguel Gamondi pale Yanga. Inawezekana yapo nyuma ya pazia tusioyajua, ila naomba tudondoshe takwimu ambazo Yanga watamkumbuka Gamondi. Makombe 🏆 1X NBC Premier league 🏆🏆2X FA Cup 🏆 1X Community shield 🏆 1X Toyota Cup Ushindi wa 5-1 Vs...
  8. Waufukweni

    Miguel Gamondi akiingia GYM kwenye viwanja vya Gymkhana akiongoza mazoezi ya Yanga SC

    Afisa Habari Yanga SC, Ally Kamwe amesema kocha wa Yanga, Miguel Gamondi bado yupo klabuni hapo, na ataongoza kipindi cha mazoezi kwa wachezaji siku ya leo. Kocha Miguel Gamondi akiingia GYM kwenye viwanja vya Gymkhana akiongoza mazoezi ya Yanga SC. Soma, Pia: Ali Kamwe aiongoza Yanga SC...
  9. Doji MD

    Gamondi anahujumu timu ya Yanga

    Hii game ya Leo na Tabora imethibitisha hilo
  10. Dabil

    Kocha Miguel Gamond hafurahishwi Azam Complex kuwa uwanja wa nyumbani

    Katika mahojiano na Kocha wa Yanga Miguel Gamondi amekaririwi akisema sifurahishi na uwanja wa Azam Complex kuwa awanja wa nyumbani, "Hata tukiwa Zanzibar nilisema kuwa sifurahishwi na uwanja wa Azam complex,Azam na Yanga ni derby lolote linaweza kutokea". Hata hivyo Yanga walijaribu kuomba...
  11. Waufukweni

    Gamondi hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex

    Kocha wa klabu ya Yanga Miguel Gamondi leo katika mkutano na Waandishi wa Habari ametamka wazi kwa mara nyingine kuwa hana furaha na Uwanja wa Azam Chamanzi Complex bali Uwanja pekee anaofurahia ni Benjamini Mkapa. Ikumbukwe kesho ni mchezo kati ya Yanga dhidi ya Azam katika Uwanja wa Chamanzi...
  12. Waufukweni

    Tetesi: Kocha Miguel Gamondi kwenda kurithi mikoba ya Benchika akifutwa kazi JS Kabylie

    Kocha Miguel Gamondi yupo kwenye orodha ya Makocha wanaohitajika na klabu za Afrika Kaskazini. Kulingana na taarifa za ndani, klabu ya JS Kabylie inataka kumteua kocha wa Yanga SC, Gamondi kama kocha wao mpya endapo Abdelhak Benchikha atafukuzwa kazi kufuatia mwenendo mbaya wa timu hiyo.
  13. NALIA NGWENA

    Kocha Miguel Gamondi tayari kajaa kwenye mfumo wa viongozi wa Yanga Sc kwa kumpa dakika za kutosha Chama mbele ya Pacome

    Naam wanajukwaa, Goli alilofunga Aziz K dhidi ya CBE na kutoshangilia lilikua na maana kubwa sana tena sana na hilo goli alifunga akitokea Sub baada ya Chama kutoka. labda kuna mashabiki watakua wanauliza hiyo ina maana gani kiukweli Azizi k hakua na Furaha kutokea bench na ndiyo maana ufungaji...
  14. M

    Gamond boys leo wamewaka, wametupia magoli kwenye mataifa yao

    Vijana wamepikwa wakapikika sasa wamekuwa msaada mkubwa kwenye mataifa yao. Kule Kenya Duke abuya katupia goli maridadi kabisa, hapa Tanzania Mudathir yahya katupia pia, bila kusahau kule Zambia Kennedy musonda nae katupia! Hiyo ndio maana halisi ya wachezaji wakubwa na mambo yao ni makubwa...
  15. M

    Kocha Gamondi atafutiwe kocha msaidizi mzawa

    Nikiwa kama mdau na mshabiki wa soka la Tanzania, nami nimewiwa kuchangia hili kwa maendeleo endelevu ya soka la klabu ya Yanga na Taifa kwa ujumla Nashauri klabu ya Yanga ilete kocha kijana mzawa awe kwenye jopo/benchi la ufundi la kocha wa timu ya Yanga( Dar Young African FC). Hii ni...
  16. S

    Chama ni bora kuliko Nzengeli ndani ya uwanja

    Gamondi, Hersi, piteni na hii:- Max Mpia Zengeli Ni mchezaji mzuri sana ila ana mapepe, sio mtulivu, ana papara anataka kufunga muda woote kumbe kazi yake ni kutoa pasi zenye macho, unashangaa mechi inaisha Max Mpia Zengeli Hana Assist Hata moja. Chama triple C Mwamba wa Lusaka Ni mtulivu...
  17. D

    Mkataba wa Gamondi na Yanga wamalizika

Back
Top Bottom