Swali wajemeni, kwa wanaojua,
Huyu jamaa anaishi wapi? nakumbuka ile timbwili lake uchanguzi uliopita ambao Uhuruto walipata asilia 97% baada ya uchanguzi kususiwa na Odinga, baada ya hapo sijamsikia tena.
Je, ni mkimbizi? Kwanini Uhuruto hawakumsamehe kama walivomsamehe Odinga?
Msaada...