miguu

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Ukiona unachexa na Simba UJUE unapambana na BODI ya LIGI laamaana mjilinde miguu YENU KUFUNGWA akukwepeki ila afya zenu zibaki imaraa

    Mjitahidii kulinda miguuyenu Kwa sasa mnapochexa na Simba mjue mnavhexa na BODI ya LIGI Msijisahau mkajua mnachexa na Simba mtaliwa kiboga mapemaa Otherwise all dbest
  2. Msilete siasa kwenye mpira wa miguu

    Nasikia huko watu wakijifariji et ooh, mechi ya simba na Yanga ikipangwa hafu mgeni rasmi awe "MAMA" yanga wataogopa na kukubali kucheza. nimeshindwa kujua huyo mMama ni nani, na wanaiongelea mMama gani, yupi. ameikuta Yanga au Yanga imemkuta? sijajua huyo mmama ni nani. Mpira wa miguu...
  3. Sheikh alalamika kutembea kwa miguu

    Amewataka waislamu wawajari
  4. Sheria mpya ya mpira wa Miguu

    Wakuu kuanzia msimu ujao Goalkeeper akikaa na mpira wakati wa mechi kwa sekunde 8 au zaidi ili kupoteza muda Timu pinzani itapewa kona(cornerkick) na refa wa mchezo husika. Mnaonaje sheria mpya iliyopitishwa na International Football Association Board (IFAB) itakayoanza Rasmi msimu ujao...
  5. Nasumbuliwa na ganzi kwenye vidole vya mkono na hivi karibuni imesambaa kwenye miguu, shida inaweza kuwa nini hapa?

    Hii shida ilianza taratibu mwezi wa 12 mwanzoni ilianzia kwenye ncha za videle vya mkono. Nilijua itapona yenyewe ila sioni dalili. Wiki moja iliyopita naona ni kama inahamia kwenye nyayo na vidole vya mguu. Nilienda hospital, wakafanya full blood picture, cholesterol, sugar, urinalysis n.k...
  6. Matatizo ya miguu

    Wakuu habari Kuna binti wa miaka 23 anasumbuliwa na tatzo la magoti kuvimba na visigino vya chini je hili linaweza kuwa tatzo gani?? Na achukue hatua gani kukabiliana na hili tatzo
  7. Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana

    Aliyewahi kuwa Waziri wa Mawasiliano na Teknolojia Nchini Kenya Margaret Nyambura amekataa uteuzi wa Rais wa William Ruto wa kuwa balozi wa Kenya nchini Ghana. Rais Ruto alimteuwa Novemba 19, 2024. Nyambura ametaja sababu binafsi za kukataa uteuzi huo hivyo kusema hatafika Bungeni kwa ajili ya...
  8. L

    Tatizo la miguu kuuma

    Habari zenu Naombeni msaada ndugu zangu Nina tatizo la miguu kuuma kwenye visigino Nikikaa muda mfupi bila kutembea nikiinuka tuu nianze kutembea miguu inauma sana nashindwa kukanyaga chini pia nikikaa kwenye sehemu inayohitaji nining'inize miguu nikiishusha chini ili nitembee inauma sana...
  9. Mjadala: Matatizo ya Makocha WA mpira wa miguu Tanzania

    Wanamichezo naomba tujadili Kwa kina Matatizo ya Makocha wetu WA mpira miguu hapa nchini. Kwanini Makocha wetu hawaendi kufundisha nje ya Tanzania. Wana udhaifu gani na ni changamoto zipi wanazokumbuna ambazo huwafanya washindwe kutekeleza majukumu yao Kwa ufasaha.
  10. TANROADS yapiga maarufu Watu kupita kwenye Flyovers kwa Miguu

    Wakala wa Barabara Tanzania (Tanroads) imewataka Wananchi kuacha kutumia Madaraja ya juu maarufu kama Flyover isivyotakiwa kama kupita kwa miguu juu ya Madaraja hayo au kupiga picha mnato( selfii),kupiga picha za harusi na kufanya mazoezi katika Madaraja hayo. Hayo yamesemwa na Meneja wa...
  11. F

    Watanzania acheni kushabikia siasa kama mnavyoshabikia mpira wa miguu

    Tatizo kubwa sana hili kwa watanzania kushabikia siasa kama vile wanashabikia mpira wa miguu. Jambo hili limefanya siasa za Tanzania kuwa ushabiki usio na manufaa kwa Watanzania. Hii ina madhara makubwa sana kwa uhai wa Taifa letu.
  12. Mbunge wa Jimbo Apongeza Vijana 32 wa Musoma Vijijini Waliotembea kwa Miguu Kutoka Butiama - Mwanza

    MBUNGE WA JIMBO APONGEZA VIJANA 32 WA MUSOMA VIJIJINI WALIOTEMBEA KWA MIGUU KUTOKA BUTIAMA HADI MWANZA Leo ilikuwa siku ya Kikao cha Baraza la Vijana wa CCM (UVCCM) wa Wilaya ya Musoma Vijijini. Kikao kimefanyika Kijijini Murangi, Makao Makuu ya Chama Wilaya Mbunge wa Jimbo la Musoma Vijijini...
  13. Vivuko vya miguu kwenye njia kuu (highway)

    Kutokana na ongezeko la watu karibu na barabara kuu na ukuaji wa teknologia Nafikiri ule utaratibu wa kutumia vivuko vya mistari ya pundamilia kwenye barabara kuu unaenda ukipitwa na wakati. Fikiria unaendesha gari barabara kuu ndani ya kilometa 10 unakutana na vivuko 5, ambayo vyote...
  14. D

    Nipo chini ya miguu yenu wanaJF

    Naombeni audio ya hizi nyimbo; 1. Leonore ya Bokilo 2. Lala salama Chiku ya Zahir Ali Zorro 3. Selina ya Muhidini Ndolanga 4. Nawashukuru wazazi ya nani sijui lakini Ndolanga yumo.
  15. Je Mpira wa Miguu umeanzia wapi???

    Mpira wa mguu, kama tunavyoujua leo, ulianzia Uingereza, lakini historia yake inahusisha michezo ya zamani kutoka sehemu mbalimbali za dunia. Hapa kuna muhtasari wa jinsi mpira wa mguu ulivyoanza: 1. Michezo ya Kale: β€’ China: Michezo ya mwanzo inayofanana na mpira wa mguu...
  16. Kwa jinsi Rwanda anavyojenga na kukarabati kwa kasi viwanja vyake vya mpira wa miguu, ni kama kuna kitu wanajua kitatokea kuelekea AFCON 2027

    Rwanda nadhani kuna nchi wameisoma inaweza kutema au kutemeshwa tenda ya AFCON 2027. Rwanda wanakarabati na kujenga viwanja kwa kasi kubwa sana. Juzi ninemsikia Waziri wa Michezo Mh. Ndumbaro, sikumuelewa, anasema iwanja wa taifa unaingiza watu karibu 60,000, lakini anasema wameagiza viti...
  17. Picha: Mwonekano mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, utakaotumika kwenye michuano ya AFCON 2027

    Matukio mbalimbali katika picha wakati Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo, Methusela Ntonda alipokwenda kukagua maendeleo ya mradi wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu wa Arusha, wakati wa kikao kazi cha mwezi cha maendeleo ya mradi huo. Ntonda alikuwa ameambatana na...
  18. Mtanzania akionyeshwa bastola au akisikia mrindimo wa risasi basi hata eneo la tukio hatakanyaga na atakimbia mithiri ya kuvunja miguu

    Tafakuri ya leo. Unajiuliza kwanini watanzania tumelala?? matukio ya kutekwa na hatuchukui hatua yoyote?? ili hali mnamuona mtu yule pale anachukuliwa?? Unajiuliza, Kwanini hatuwezi kudai haki zetu?? Jibu ni hili, Mtanzania anaogopa sana neno "bunduki", Mtanzania akishaona bunduki basi...
  19. Hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea? Na jongoo Hana macho lakini hajigongi wala hatembei na fimbo?

    Naombeni mnisaidie nimechoka kuwa mjuaji na kuumiza kichwa changu kwa swali ambalo wadau wana maswali aisee hivi kwanini nyoka hana miguu na anatembea na yawezekana anakimbia kuzidi binadamu? Na pia kwa jongoo hana macho na anatembea bila hata kujigonga na wala hatembei na fimbo? ?????
  20. FT: Young Africans SC 0 - 2 Al Hilal | CAF CL | Benjamin Mkapa Stadium | 26.11.2024 |

    πŸ† #CAFCL ⚽️ Young Africans SCπŸ†šAl Hilal πŸ“† 26.11.2024 🏟 Benjamin Mkapa πŸ•– 10:00 Jioni Kikosi kinachoanza dhidi ya Al Hilal Dakika ya 5 Mpira Umeanza Dakika ya 10 Yanga SC wanakosa nafasi ya wazi Dakika 25 Yanga wanakosa nafasi ya wazi Dakika ya 29 Dube anakosa nafasi ya wazi anateleza hapa...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…