Na Mwandishi wetu Mihambwe,
Mwenyekiti Kamati ya ulinzi na usalama Tarafa ya Mihambwe ambaye pia ni Afisa Tarafa Mihambwe Emmanuel Shilatu mapema leo Februari 22, 2022 amewafariji wakazi wa vijiji vya Mihambwe na Ruvuma kufuatia jana Jumatatu Februari 21, 2022 kutokea kadhia ya upepo mkali...