mihimili

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Tanzania: Mihimili mitatu ya Dola na mwingiliano unaokanganya

    Nawaza jambo hapa, kuwa kuna mihimili 3 ya Dola. 1. Bunge ambalo kiongozi mkuu ni speaker wa Bunge 2. Serikali ambayo kiongozi mkuu ni Rais na 3. Mahakama ambayo kiongozi mkuu ni Jaji Mkuu, na kuna dhana kwamba mihimili hii haingiliani. Swali: Kwanini kwenye Bunge na Mahakama kuna picha ya...
  2. CHADEMA inakuwaje mna ugomvi na mihimili yote mitatu -- Serikali, Bunge na Mahakama?

    CHADEMA wana ugomvi na Bunge na Ndugai ukija kwenye Serikali ndio kabisa hawaivi nayo ukienda Mahakamani ndio usiseme Lissu alishatukana hadi Majaji kuwa hawajui Kiingereza na hawana Imani na Majaji wa Tanzania. Hiki Chama vipi? Ukidharau mihimili yote utakuwa mgeni wa nani?
  3. H

    Ofisi ya Rais inapokuwa na Vitengo vya Mihimili

    Mwalimu Nyerere alijua kuwa kuna haja ya kuwa na mihimii mitatu ya Jamhuri. Akalijenga Taifa katika mihimili mitatu yaani Serikali, Mahakama na Bunge. Japo muundo wake haukuashiria uhuru wa 100% lakini angalao iliachwa kuwa huru. Utawala wa Mwinyi, Mkapa na Kikwete, uliendelea kuheshimu uhuru...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…