mihogo mibichi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Lycaon pictus

    Kula mihogo mibichi kunasababisha uwe zezeta

    Mihogo huwa ina sumu inayoitwa cyanide. Sumu hii hupatikana kwa wingi sana kwenye mihogo michungu. Lakini pia ipo kwa kiasi fulani kwenye mihogo ile mitamu. Sumu hii ni kali sana, ikizidi inaua mara moja. Ndiyo hata wqle majasusi unaona wnajiua kwa kutumia cyanide iwapo wamekamatwa na hawataki...
  2. Buyaka

    Mihogo mibichi inayouzwa barabarani Mwenge hadi Africana ina sumu!

    CYANIDE iliyotumika na Adolf Hitler kuuwa Wayahudi ipo kwenye MIHOGO MIBICHI! Na mpaka leo bado inatumika kwenye hukumu za vinyongo kwenye nchi kama Marekani jimbo la Arizona. Sisi tukitaka kuua mtu tunampiga na mawe, petroli, viberiti... taharuki. Lakini njia moja ya kuua mtu bila kuzua...
  3. Mpwayungu Village

    Wadada wengi wanaouza mihogo mibichi mitaani wanatongozeka kirahisi sana

    Mtanisamehe kama kuna mtu dada yake ni mlengwa ila hapa tupo kupeana uzoefu. Iko sawa kabisa siku ukishikwa na ashki naunataka kuosha rungu chap kwa haraka wewe chukua contact za hawa wadada, ukimtext akuletee mihogo ya buku mbili nazi na karanga hamalizi dk 3 keshafka. Muungishe hata ya buku...
  4. sheby dunia

    Biashara ya Mihogo Mibichi

    Wakuu habari vipi? Nataka nianzishe biashara ya kuuza mihogo kutoka kijijini hadi sokoni. Mwenye uzoefu wa biashara hii tafadhali.
Back
Top Bottom