Kumekuwa na mijadala mingi isiyokuwa na Afya kwa masuala ya Dini humu majukwaani. Tatizo la hiyo mijadala ni watu kuleta mada ambazo ni porojo bila ushahidi wowote huku wakiaminisha watu kuwa ni mafundisho ya dini fulani.
NASHAURI: Ili jukwaa lionekane lina wachangiaji wenye maarifa (wasio...