Kwenye hili suala la usajili wa wachezaji, Simba wameingia mtego wa kifikra na kihisia ambao itakuwa vigumu sana kutoka.
Hakuna timu duniani ambayo wachezaji wote 20+ wa kikosi wana viwango sawa. NASEMA HAKUNA! Wale wa akiba siku zote, ni wa viwango vya chini kidogo. Iko hivyo duniani kote. Hii...