Mara nyingi ili nchi iwe Tajiri inategemea na uthabiti na umahiti wa serikali iliyopo madarakani, rushwa ni adui wa haki na maendeleo. Tatizo lililopo kwa nchi nyingi zinazo endelea ni ubinafsi kwa viongozi wake na hii nitabia ya viongozi wengi wa ki Afrika, inaweza kuwa ndio tabia halisi ya...