Yanga wakiwa hawana mpira shape yao ilikuwa 5-3-2 ,lengo la kwanza lilikuwa ni kuwa na vitendo vingi vya kiulinzi(defensive actions) kwenye idara ya kiungo na ulinzi(zone A na B).
Ile pembetatu ya Mudathir, Bangala, na Farid Musa ilikuwa muhimu sana kwenye kipindi cha kujilinda na kushambulia...