Katika miaka ya hivi karibuni Chuo Kikuu cha Dar es Salaam kimekuwa kikichukua wanafunzi wanaofanya vizuri kitaaluma wahitimu kubaki kusaidia shughuli za kitaaluma (TAs).
Cha kusikitisha vijana Hawa Chuo huwatekeza bila mikataba wala malipo. Kwa mfano, vijana wengi waliohitimu mwaka 2024 na...
Naibu Spika wa Bunge, Mussa Azzan Zungu ameishauri Serikali kuangalia mikaba na kusaidia Wakandarasi wazawa kupata nafasi pia katika miradi mbalimbali, ametoa ushauri huo kwa Naibu Waziri Ofisi ya Rais TAMISEMI, Dkt.Festo Dugange wakati wa Bunge la 12 Mkutano wa 18 Kikao cha 13, leo Februari 13...
Serikali ya Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Jamhuri ya Shirikisho la Somalia zimesaini Mikataba miwili ya makubaliano ya kushirikiana na katika masuala ya Ulinzi ma Usalama na kubadilishana Wafungwa.
Mikataba hiyo imesainiwa leo Januari 29, 2025, Jijini Dar es Salaam, upande wa Tanzania na...
Habari wote,
kazi yetu ni kutengeneza mifumo ya Computer.
Kwa sasa nawaletea mfumo ambao unasimamia na kurekodi maswala yote ya mikataba pamoja na kesi.
Kwa makampuni ambayo yanakua na mikataba mingi ambayo ina expiry date,basi hiii itakusaidia kuweka kumbukumbuku zote za mikataba,ukiweza pia...
MSIKILIZE HAPA MH RAIS SAMIA KUHUSU EPC+F LEO TAREHE 10 DISEMBA 2024
https://youtu.be/8RqWIsRYKvQ?si=Q7tQR3tXSsYr95au
MSIKILIZE HAPA MPINA AKIPINGA EPC +F TAREHE 26 May 2023
https://youtu.be/xFIULsHcw8o?si=b7d9zumzL3OvPb0e
SIKILIZA HII HAPA SIKU YA KUSAINI MKATABA WA EPC+F TAREHE 17 Jun...
Serikali ya Tanzania na Shirika la Maendeleo La Ufaransa (AFD) wamesaini mikataba minne (4) yenye jumla ya euro milioni 118.8 sawa na takriben shilingi bilioni 323.4 kwa ajili kutekeleza miradi mbalimbali nchini ikiwemo Awamu ya Pili ya mradi wa nishati jua wa Kishapu Mkoani Shinyanga, pamoja na...
Mimi ni mfanyakazi na nimefanya kazi kwa takribani miaka 11 kwenye taasisi hii. Nilikuwa naingia mikataba ya miaka miwili miwili halafu na-rew. Sasa ilipofika mwaka 2015 mwajiri alininipa mkataba wa permanent kama ku-comply na matakwa ya CRDB ambao walisema ili mwajiriwa apate mkopo katika benki...
Yaani Tanzania ni nchi ambayo kila kitu sasa ni fake
Maajabu ya TZ: Chaguzi fake, mikataba fake, mifumo fake, ripoti za Raisi fake na marafiki fake-machawa
Je kuna nchi Dunia hii watu wako fake kama Tanzania
1. Tuna mfumo wa Demokrasia ambao serikali ndiyo inaongoza kudidimiza!
2. Ripoti za...
Tumemlea sana Aziz ki, hachezi mpira muda wote anatoa maelekezo na anakosa nafasi za wazi. Dube ni takataka ambayo haistahili kabisa kuwepo Yanga muda wowote.
Kama inawezekana wavunjiwe mikataba Leo hii.
Kocha tumpe muda amejaribu kadri ya uwezo wake mdogo ila ameangushwa na ujinga wa Aziz ki...
Rais wa Kenya William Ruto, ameagiza kusitishwa kwa kandarasi ya upanuzi wa uwanja wa ndege wa JKIA na ya nishati iliyopewa kampuni ya Adani kutoka India.
“Nilishawahi kusema huko nyuma, na narudia tena leo kwamba kutokana na ushahidi usio na shaka au taarifa za kuaminika kuhusu rushwa...
Tatizo la viongozi wetu wanakimbilia mikataba ya 10% bila kujali maslahi ya nchi ndiyo maana mikataba inakuwa ya sirisiri.
Huyu jamaa amegundulika anatoa rushwa kila mahali na kashitakiwa huko USA wenzetu wa Kenya wamesha sitisha mikataba na sisi tutafute njia sahihi ya kufuta hii mikataba...
Mbunge wa Jimbo la Kisesa, Luhaga Mpina, ameitaka Serikali kueleza kwa nini mikataba ya uwekezaji wa Bandari ya Dar es Salaam na kampuni ya DP World haijawasilishwa Bungeni ili wabunge waweze kujua maudhui yaliyokubaliwa kwenye mikataba hiyo.
Akiwasilisha hoja yake wakati wa kujadili...
Bashungwa asisitiza TANROADS haiko hoi, miradi 87 yaendelea kutekelezwa
Serikali kupitia Wakala ya Barabara (TANROADS) imesaini mikataba 93 yenye jumla ya Shilingi Bilioni 868.56 kwa ajili ya ujenzi wa miradi ya dharura ya barabara na madaraja iliyoathiriwa na mvua za El Nino pamoja Kimbunga...
Wizara ya Katiba na Sheria kupitia Idara ya Haki za Binadamu imewakutanisha wadau mbalimbali kutoka Bara na Zanzibar katika kikao kazi cha kukamilisha taarifa ya Nchi ya kufuatilia utekelezaji wa Mkataba wa Afrika wa Haki za Binadamu na Watu pamoja na Mkataba wa Haki za Wanawake barani Afrika...
Kutokana na uongezeko la wasomi nchini imefika wakati sasa kungekuwa na mikataba kwa watumishi wa Serikali. Kuwepo kwa mikataba angalau ya miaka 2 baada ya mkataba kuisha kuwe na utaratibu wa kukagua utendaji kazi ambao kama ni wa kuridhisha katika kiwango ambacho kimeweka anaweza akaongeza...
Leo nimeipata kusoma mkataba na kumsikiliza Wakili Nguri hapa, Tanzania Nikafikirisha akili yangu nikagundua Watanzania Wezetu ndio wanaotuingiza kichaka kwa ku Saini Mikataba Mi bovu.
Pia huo mkataba unajua hauna manufaa kwa mtu anaekodisha Eneo lake wanakupa % chache sana za kupanda kwa Kodi...
Serikali imesaini mikataba mitano itakayowezesha kuanza ujenzi wa madaraja 13 katika sehemu za barabara zilizoathiriwa na Mvua za El-Nino na Kimbunga Hidaya katika Mkoa wa Lindi ambapo jumla ya Shilingi Bilioni 140 zitatumika katika utekelezaji huo.
Akizungumza mara baada ya kushuhudia utiaji...
Karibu viongozi wote wa Afrika wana tabia moja inayofanana - kujitajirisha binafsi kwa kuingia mikataba ya siri inayoumiza nchi zao, huku wakidanganya umma mikataba hiyo ni kwa faida ya nchi zao. Mtu yeyote mwenye akili atajua kwamba mkataba ambao kweli una nia ya kuinufaisha nchi hauwezi...
Kwenye makala hii nimekushirikisha vipengele muhimu zaidi vinavyotakiwa kwenye mkataba kati ya mmiliki na msimamizi wa hosteli.
Ninaamini kwa kuzingatia mambo utaweza kupunguza changamoto nyingi zinazohusiana na usimamizi wa majengo ya hosteli za wanafunzi wa vyuo.
Hapa kuna sheria 30...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.