Habari wanaJF,
Nimekuja kwenu na ombi. Kama kuna mfanyabiashara wa OVEN hapa naomba tuonane. Cha msingi, nahitaji kukitumia kanisani. Iweze kutumia gesi na umeme. Plate 2 au 3. Naomba uniandikie. Whatsapp ni 0748707707
Katika kula kwangu mikate nchi hii sijawahi kuona Mikate iliyo bora zaidi ya Supa Loaf, Sunkist na ile ya Iringa inayouzwa kwenye magari. Hii mikate inahitaji heshima nchi hii kwa sababu ina hadhi zote za kuitwa mikate, kuanzia ladha, harufu, ujazo sahihi wa unga hadi ulaini.
JUMUIYA YA WAZAZI WILAYA YA KINONDONI NI MFANO WA KUIGWA, MR UK -PROFIL MASAWE KATIKA SIASA KAZI MAARIFA.
Na Comrade Ally Maftah
Nikiwa kama mpenzi na mkereketwa wa Chama cha Mapinduzi, Mjumbe wa Mkutano Mkuu wa CCM Mkoa wa Dar es Salaam, mpenzi wa Jumuiya ya Wazazi na Mjumbe wa Mkutano Mkuu...
Nina safari ya kama week mbili huko Boston marekani, nimejaribu kucheki vyakula vyao huko naona wanakula vyakula vyenye ngano zaidi na mimi sio mpenzi wa vyakula vyenye jamii ya ngano.
So nauliza wenye experiences za huko, hakuna misosi mingine zaidi ya hiyo kama ugali,wali etc?
Kwa hili nawaomba mamlaka ya chakula na dawa kwa kushirikiana na serikali kukitupia macho kiwanda cha kuoka mikate kiitwacho Wilson Bakery kilichopo mjini Bunda Kwani kinahatarisha afya za walaji kwa kuwauzia mikate na keki zilizokwisha pita muda wa matumizi.
Kwanza vifungashio vyake vingi...
Kweli kila nchi na tamaduni zake, msosi pia ni sehemu ya tamaduni. Wakati bongo tunajivunia chipsi yai, au supu chapati usichukulie poa, Mrisho Ngasa na Kapombe walishindwa kucheza Ulaya kisa chipsi yai.
Turudi kwenye mada, nikiwa Cape town, nilishuhudia watu wakila soda na mikate kama mlo...
Wakuu habarini za usiku,
Ni muda nimekuwa mtumiaji mzuri wa mkate katika kifungua kinywa cha asubuhi, lakini nime-kutana na changamoto ya kitafunwa hichi kuwa na chembe chembe za michanga ndani yake. Nimejaribu kubadili brand mbali mbali lakini naona hali ni ile ile.
Je, hali hii inasabishwa...
Kiwanda cha kutengeneza mikate nchini Kenya cha Super Loaf kimemuomba radhi mteja wake Kelly Inyani aliyelalamika kukuta uwazi katikati ya mkate alionunua, jambo alilolitafsiri kama kupunjwa mkate ikilinganishwa na thamani ya fedha alizolipa.
Kiwanda hicho kimeahidi kumlipa fidia , japo...
Habari wakuu,
Katika harakati za kutafuta maisha nimeamua kufanya biashara ya kupika na kuuza mikate.
Kama mnavofahamu Mifuko imepigwa marufuku ,hivyo ili kufunga mikate inatakiwa ile Mifuko iliyopigwa Nembo ya muuzaji ya kuuza Mkate.
Nimejaribu kumuuliza Jamaa yangu yupo Dar es salaam...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.