Jamaa ana shamba kubwa sana la bhange. Yaani ndo biashaara kubwa anayofanya huyu jamaa. Of course huwa anaonekana smetmes kabisa kibarghashia..... But hamna lolote huyu jamaa ana fanya mishe mishe zake zile zile na msuba anavuta kinyama.
Najiuliza ilikuwa tu ni hasira ya kufungwa miaka ile au...
Mkongwe wa mchezo wa ndondi, Mike Tyson ambaye ana umri wa Miaka 58 inadaiwa anafikiria kurejea ulingoni kupigana baada ya kupoteza pambano dhidi ya Jake Paul (28) iiwa ni mara ya kwanza baada ya kustaafu miaka 20 iliyopita.
Licha ya pambano lake lililopita kukosolewa na wengi lakini lilikuwa...
Cheki hapa, huyu dogo hii hook ingemuweka chini moja kwa moja na ikawa KO ila mike akaipotezea, chek hii clip hapa chini
Laiti hio hook mike angeituma kichwan kwa huyo dogo wangemtoa dogo hapo akiwa kwenye stretcher. Na ukicheki vzr mike alifake punch dogo akaidefend kisha akamuachia access...
Wakongwe Tyson na Evander wakiwa sasa ni marafiki.
Mike Tyson na Evander Holyfield wana historia ndefu na zitakazodumu kwa karne nyingi sana kwenye historia ya mchezo wa ndondi, na kama Evander anavyotaka, labda siku moja Mungu akipenda, kuna uwezekano wa nyongeza ya ukurasa katika kitabu cha...
Wengi mlioangalia Boxing match kati ya Youtuber Paul Logan na bondia nguli Mike Tyson, mnaweza kudhani Mike Tyson ameshindwa, ila kiuhalisia Mike Tyson alipangwa kuuza match hili amfanye Paul Logan kuwa maarufu zaidi, ni mbinu za kibiashara za kumkuza Paul Logan, na tayari media nyingi za...
- Jake Paul aibuka mshindi..... Score ilivyokuwa baada ya pambano.
- Pambano limeishaaaaaa!
- Jake anarusha ngumi huku kama anamsubiria Mike hivi, ila Mike anaonekana kachoka, zimebaki sekubde 26
- Round ya MWISHO.
- Jake karisha punch mbili tatu mwishoni, round ya 7 imeisha. Wanafuta...
50 Cent anasema siku ya kwanza alipogundua uchafu wa P. Diddy ilikua kwenye studio za tv, wakiwa katika live interview kwenye tv P. Diddy alimwambia 50 Cent, "50 nataka nikutoe out siku 1 nkufanyie shopping unaonaje ofa hiyo bro?"
50 Cent anasema alishtuka na kujibu pale pale kwa hasira, "Huyu...
Baada ya kufanya vipimo vya DNA ili kujua babu yake alitoka wapi barani Africa, amegundua kwamba babu yake alitoka Congo.
Ingawa hakuweza wazi whether is Brazzaville or Kinshasa but tuna assume ni Kinshasa kwa sababu, when you just say "Congo" then we know it is " Kinshasa". It is like when...
Pigano lililopangwa kati ya Mike Tyson na Jake Paul limeahirishwa.
Kucheleweshwa huku kunatokana na dharura ya kiafya iliyomhusisha Mike Tyson, ambapo alipata kichefuchefu na kizunguzungu wakati wa ndege, hali ambayo baadaye ilihusishwa na kuongezeka kwa kidonda.
Ingawa wawakilishi wa Tyson...
Mike tyson mwenye umri wa miaka 57, na Jake Paul mwenye umri wa miaka 27, wameonesha nia ya kuingia ulingoni na kuzichapa.
Una maoni gani juu ya huu mpambano, nani unampa karata yako ya ushindi?
Cc: Maghayo
Mike Tyson vs Jake Paul officially announced as date set biggest event in boxing history.
Jake Paul rose to combat sports fame when he knocked out former NBA player Nate Robinson on the undercard of Mike Tyson's exhibition boxing match with Roy Jones Jr. in 2020.
Now, Paul, the...
Hawa ni wababe ambao mwishoni mwa miaka ya 90 waliitikisa dunia katika ndondi.
Moja ya pambano la kukumbukwa ni mmoja wao kung’atwa sikio.
Kwasasa wamezeeka ama kweli nguvu ni kitu cha kuisha.
Bondia Mike Tyson ambaye anasumbuliwa na magonjwa ya uzeeni ameahidi kiasi cha shilingi Bilioni 23 za Kitanzania kwa mwanaume yeyote atakayejitokeza kwa ajili ya kumuoa binti yake mwenye uzito wa kilo zaidi ya 120.
Tyson amefanya hivyo ili aweze kushuhudia binti yake akiolewa kabla ya kifo...
Mike Tyson disclosed a peculiar incident from the late 80's when he offered $10,000 to a zookeeper to fight a Silverback gorilla.
Tyson known as "The baddest man on the planet" rented out a New York zoo for romantic stroll with his then wife but got the idea to confront the gorilla when they...
Ni usiku mkubwa, wa pambano la kati ya Mike Tyson na Sheldon. Ni usiku ambao ulitokea tukio moja kubwa na la kusikitisha sana kwenye ulimwengu wa muziki. Huku pambano likiwa limemalizika na watu kurudi majumbani kwao na wengine kuendelea kula bata katika hoteli kubwa ya MGM, milio ya risasi...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.