Rais Samia Suluhu Hassan amepokea ripoti ya ukaguzi wa hesabu za Serikali kwa mwaka 2021/2022 kutoka kwa CAG pamoja na ripoti ya TAKUKURU.
Baada ya kupokea ripoti hiyo Rais Samia Suluhu amesema "Ukisoma ripoti ya TAKUKURU ya mwaka juzi nilipopokea kijiti na ripoti ya sasa utaona kabisa kuna...