Habari ndugu wadau.
Nilisikiliza hotuba ya TUNDU LISU Sept 7 siku ya kumbukizi ya miaka 5 tangu jaribio la kutaka kumchomoa nafsi.
Katika hotuba yake ambayo kimsingi inavutia sana alitaja mambo mazito sana.Kimsingi watanzania hatujazoea kusema ukweli ata kama ni Mchungu, tumezoea kupaka rangi...