mikononi

No Wikipedia entry exists for this tag
  1. Wapiganaji wa FDLR inapaswa wawezeshwe zana vita ili wakaikomboe Rwanda toka mikononi mwa Gaidi

    FDLR Kimekua ni kisingizio kinachotumiwa na Rwanda ili kuhalalisha ugaidi na uvamizi wa mipaka ya Nchi nyingine huru. Sasa si muda wa Mataifa kuikemea Rwanda kwa mdomo ni muda wa kuhujumu Utawala uliopo Kigali kwa Kuwawezesha FDLR kwa zana vita, mafunzo na kusaidia taarifa za kijasusi ili...
  2. Baada ya jana Nyamibwe kuangukia mikononi mwa M23, leo tayari wapo Ihusi

    https://x.com/StanysBujakera/status/1887306274750030073 Akiongea Vital Kamerhe, anasema: muda umeshatutupa; kuna wabunge hapa hata hawajui ilipo MINOVA, Nyabibwe iko wapi na maeneo mengine. Mkiambiwa, mnatakiwa muelewe hali halisi ya kinachoendelea. Nadhani wenzetu wa Kivu Kusini na Kasikazini...
  3. Nyabibwe: Mikononi mwa M23

    Wakati nchi ya Malawi ikiamua kuondoa majeshi yake nchini Congo, kwa mission ya SAMIRDC, ya nchi a SADC; Na baada ya tangazo la M23, la kusitisha mapigano, mpaka sasa, mji wa Nyamibwe, tayari umeangukia mikononi mwa M23. Mashambulizi yameanza mapema leo, na ndo yameacha mji huo uliopo kilomita...
  4. Tanzania haitakuwa Salama, Endapo DRC itaangukia mikononi mwa RWANDA, M23 wapigwe na JWTZ Kwa makubaliano ya Taifa Kunufaika na Kukaa mashariki ya DRC

    Hamna wakati mwingine ambao Tanzania inahitaji DRC iliyotulia kama ilivyo Sasa !! RWANDA ni ka Nchi kadogo sana, Ambako kana maeneo machache ya kimkakati linapokuja suala la uchumi , wako limited katika Resources . Ndio Sababu Kagame Palipo na Migogoro anajitahidi kujiingiza na kusaini...
  5. Benson Kigaila ndie kiongozi pekee wa kizalendo CHADEMA atakayeidhibiti na kuinusuru CHADEMA

    Amefanya kazi nzuri sana pale BAZECHA na anaendelea kufanya kazi nzuri zaidi pale BAVICHA. Ni matumaini ya kila mwanachadema mzalendo kwamba, the field marshal matonya engr. Benson Kigaila hatakosea BAWACHA na kamati kuu kama kawaida yake, and the mission will be successful completed. kibaraka...
  6. Ulimwengu mikononi mwa Freemason, Satanism na Paganism

    Asili inachukua mkondo wake.. Dini zilizotegemewa kama kimbilio la kumuokoa mwanadamu kiroho sasa zinashuhudia anguko kubwa kuliko wakati mwingine wowote ule Kwasasa dini nazo ni mateka wa imani za siri za kidunia.. Na hapa namaanisha dini zote zinazomuabudu Mungu moja Kwasasa dini zetu . Ni...
  7. Nadhani bora CHADEMA ikafia mikononi mwa Tundu lissu kuliko Mbowe kuendelea kuwa Mwenyekiti

    Habari JF , ni miaki mingi na chaguzi nyingi zimepita lakini kiuhalisia CHADEMA hatujawahi kuwa serious na kuchukua dola zaidi ya wabunge na madiwani . Binafsi nanishukuru Mwenyekiti Mbowe kwa mchango wake mkubwa katika chama ,lakini naona ni muda sahihi sana kwa yeye kuachia ngazi sababu...
  8. B

    Jebra Kambole: Hatma ya CHADEMA sasa mikononi mwa wajumbe

    Hii ni baada ya mwamba kukomaa ki Yoweri Kaguta Museveni: Kwamba wajumbe hawa, ambao wengi wao nao ni watia nia kwenye ubunge na udiwani uchaguzi mkuu 2025, wajue bila watu, kura zao zinabeba hatima zao wenyewe. Maneno mazito kabisa haya kutokea kwake wakili msomi Jebra Kambole.
  9. CHADEMA isanuke, Mbowe ni pandikizi la system, kazi yake kubwa ni kuhakikisha Dola inabaki mikononi mwa CCM daima

    2015 ndio ulikuwa mwaka pekee wa upinzani kuingia Ikulu na CCM kuwekwa pembeni huku mafisadi yakisubiri kuburuzwa Mahakamani. Lakini kinyume chake ni kwamba mafisadi walizidi kung'ara na wanaendelea kuitafuna nchi . Mbowe ndiye aliyehakikisha kuwa mwana CCM machachari Mh. Lowasa anapeperusha...
  10. Mtu anapigwa misumali ya kichwa na mikononi utaniambiaje ni mkuu mwenye nguvu?

    Hii inanishangaza na kunifikirisha kabisa hivi unakuwaje mtu ni mkuu na mwenye nguvu halafu anashindiliwa misumali kichwani na mikononi halafu utasemaje ni mkuu mwenye nguvu na miujiza? Halafu tena mtu huyo huyo wapambe wake na wanafunzi wake wanamuangalia tu hii inafikirisha Sana yawezekana...
  11. Kwanini nice guys huwa wanaangukia mikononi mwa demaged women

    Unapiga kazi bila kuchoka upandishe thamani yako, utengeneze connections za maana. Kwenye kusaka mafanikio kuna sacrifices lazima uzifanye, uachane na pombe, starehe, ngono na anasa zote. Sasa kipindi unapambana na unaishi kwa nidhamu ili utimize malengo yako, unajua nini kinaendelea upande...
  12. Tunawaacha watoto wetu katika mikono ya day care ila katika guarantee ya usalama bora kiasi gani?

    Wakina diddy wamevamia sekta ya day care Ni mwendo wa kutengeneza mashoga wengi maana mtoto wa kiume atajua kufirw ni kawaida maana alikuwa molested tangu utotoni Yale ya dereva na mwenzake wa school bus kubaka kaanafunzi ka kike ka-kindergarten. Kesi za kujirudia rudia za Waalimu wa...
  13. D

    Nitashangaa mno kama Mdude Nyangali atafika wikiedi hii bado hajaangukia mikononi mwa Polisi

    Salaam wanaJF. Kauli ya Kada wa Chadema, Mdude Nyangali kuwa Rais Samia Suluhu Hassan anatafuta roho yake ni kauli nzito mno isiyotakiwa kupuuzwa hata kidogo na vyombo vya ulinzi na usalama. Mdude amesema straight bila kumung'unya maneno kwamba Samia anataka atekwe, ateswe, auawe na kutupwa...
  14. D

    Soon Putin anakamatwa tu. Kama Ukraine wameweza kuingia Urusi na kuteka watu basi Putin atakuwa mikononi soon

    Nimeshawaambia kuwa weatern siyo watu wazuri wakitaka jambo lao lazima litimie. Putin alinifanya mjanja sasa anapumulia mashine. Ukrain wameweza kuingingia nchini mwake na wanateka watu na putin analia kama mtoto. Usicheze na nchi zenye demokrasia Nchi za kidictator zinakuwa na poles nyingi za...
  15. Taifa lolote makini lazima liwe mikononi mwa vijana.Vijana makini watalinda mali za umma.

    Iwe kwenye tamaduni na mila zetu. Vijana ni nguzo muhimu sana. Vijana hutumika kuzalisha, na hata kuvuna na kulinda mazao. Soma Pia: Tundu Lissu, John Mnyika na Joseph Mbilinyi Wawasili Mbeya kwa ajili ya Kongamano la Bavicha, Wapuuza Amri ya Polisi Jeshi la Polisi lapiga marufuku mkutano wa...
  16. SoC04 Ukombozi wa kiuchumi wa Tanzania upo mikononi mwetu

    Zaidi ya miaka sitini pamoja na juhudi mbalimbali zilizofanyika bado uchumi wetu niwakujikongoja huku bado tukipambana na maadui wale wale aliowataja mwalimu Nyerere, Umaskini, ujinga na maradhi. Bado kungali na wimbi la umaskini miongoni mwa watanzania huku tukiachwa nyuma kimaendeleo na...
  17. Hatma ya Ramaphosa mikononi mwa Wabunge

    Mpira Kati. Ramaphosa ni ama amwage pesa kwa Wabunge kama alivyozima kashfa ya Phala Phala au apumzishwe na kuanza kupokea Kikotoo. Japool ana hela ila madaraka matamu zaidi. Ingekua Tungekinya party caucus wangeitwa ukumbi Maarufu na kila mbunge apewe salfeti ya mahela. Watu wapige kimyaa
  18. Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache, wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana

    Hii picha ina trend sana. Uchumi wa Tanzania uko mikononi mwa watu wachache,wengi wanaishi maisha ya hali ya chini sana.
  19. N

    Ongezeko la BODABODA kujichukulia sheria mikononi vyombo vya usalama hamlioni hili?

    Ongezeko la BODABODA kujichukulia sheria mikononi vyombo vya usalama hamlioni hili? Iwe kwenye mataa, taa ya rangi ya RED imewashwa bodaboda unawaona wanapita Iwe kwenye pundamilia magari mengine yamesimama watu wapite bodaboda unawaona wanapita unaogopa kuvuka barabara hata kama magari...
  20. Je ni sawa mwanamke kuwa na vinyweleo vingi mikononi kama mwanaume?

    Hii kitu inanishangaza sana, nipo mkoa X ambapo ndipo makazi yakudumu yalipo ila sikai sana sababu ya kazi zangu, lakini ninakutana na mambo ambayo nadhan yanasababishwa na mabadiliko ya tabia ya nchi au sijui ni hormonal imbalance kwa wadada. Nilipoingia huu mkoa wiki 2 zimepita nilienda...
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…