Umeshudiwa ugeni mzito nzito Kyiv Ukraine, katika kipindi hiki cha mgogoro.
Rais wa umoja wa Ulaya amefika Kyiv. Mawaziri wakuu toka Czech, Slovenia, Poland na juzi UK nao wamefika pale wakajivinjari kwa raha zao.
Aungurumapo Simba mcheza nani?
Haitakuwa ajabu kusikia Marine Moja imetimba...